Hakuna wanyama waliotoroshwa

Hii ni kejeli (satire) jamani, naunga mkono hoja. Hakuna wanyama waliotoroshwa. Walichukuliwa tu kwa kuwa wananchi tumeridhia wapokwe.
....Point noted. Kumbe hapa ni suala la lugha gongana. Kwa kuwa wanyama walichukuliwa kutoka mbugani mpaka KIA na watu wakishuhudia kwa hiyo hawakutoroshwa...Good one!!

Namnukuu Ole Sendeka"SHERIA INAKATAZA KAMPUNI YA KIGENI KUKAMATA WANYAMA,KATIKA UTOROSHAJI WA WANYAMA ZAIDI YA 100,WAGENI WALIPEWA LESENI ZA KUWAKAMATA NA WALITOROSHWA CHINI YA ULINZI WA BAADHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA".
Hao waliotoa liseni za kukamata wanyama wamechukuliwa hatua gani??????? Huo ni usanii na kudanganyana tuu!!!!!!!!

wakuu kuna mtu kafunguka kweli leo E.A radio kuhusu hii issue kwenye supamix, NATAMANI ZEMBWELA AU M. BARUTI WATUEKEE ILE CLIP.
dah inasikitisha kweli.

Cha ajabu hili swala linaonekana kama limetokea jana lakini ni la siku nyingi ina maana vyombo vya usalama havikuchukua hatua yoyote liliporipotiwa mara ya kwanza? Ina maana wabunge ndio wanafanya kazi za polisi utasikia tume imeundwa kuchunguza. Ni ajabu pia kuwa waziri alikuwa hajui hadi alipoambiwa bungeni ndio anachukua jukumu la kusimamisha watendaji. Ndege ya jeshi itue nchini bila taarifa ya mkuu wa kaya, waziri na vyombo vya usalama?

The whole saga looks as a joke.

Kungekuwa na mamlaka za juu zinazojua maana yake tungekuwa na mapato yake.
Hivi kiswahili kigumu hivi jamani? wametoroshwa kwa sababu hakuna system yoyote unayoweza tumia kutrack sasa na ukajua wameandikwa wapi na wametua wapi hata kama wameishia kwenye mahot pot hakua anayejua hayo. Naunga hoja wametoroshwa, au kwa lugha nyingine watanzania tumepigwa changa la macho walipelekwa kwenye maonyesho nini?
bado JK ameishapigwa bei labda na yeye atatoroshwa sasa sijui tutapata wapi raisi mwingine mwenye tabasamu kama yeye, maana Mwinyi alikuwa na sura ya kushangaa, Mkapa na sura ya kununa, ila JK kwa tabasamu hatumshindi, ndiyo maana anachekachekaaaa!!! hata wanyama sasa wanauzwa, huku na yeye akishangaa kwa nini bado sisi ni masikini kiasi hiki.
Aache kucheka na hawa kima atavuna mabua shauri yake

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa
Kama kweli haya unayasema kwa dhati, kawatetee wale walio na kesi mahakamani kuhusiana na sakata hili.

Nami naunga mkono hawakutoroshwa bali wahusika walikuwa na baraka zote za mamlaka zinazohusika, ndo maana hata KIA waliweza kuondoka bila tatizo -

hapa ndipo napossemea mimi,,,,,serikali inaiga wananchi kuwa wametoroshwa ila kwao wao hawa wanyama hawakutoroshwa,labda raia ndio tuseme kuwa WANYAMA WETU WAMETOROSHWA NA SERIKALI,,,,,ILA MAIGE ASISEME KUWA HAWA WANYAMA WAMETOROSHWA MBONA ALIKAA KIMYA????

Kama kweli haya unayasema kwa dhati, kawatetee wale walio na kesi mahakamani kuhusiana na sakata hili.

wale sina haja ya kuwatetea,labda hujanielewa lakin kama ungeanza mwanzo wa sridi hii ungenielewa ,kuna watu wamenielewa nachosema MDAU

Hao waliotoa liseni za kukamata wanyama wamechukuliwa hatua gani??????? Huo ni usanii na kudanganyana tuu!!!!!!!!

hawawez kuwakamata watoa lesen,maana hawa tunaowaita watawala wana mkono wao????kwani wanyama wametoroshwa JUZI?????

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

inawezekana kabisa hujui tofauti kati ya KUTOROSHWA na KUTOROKA! nashindwa kuhukumu ufahamu wako hasa palle unaposema "kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua..." hakika weledi wako wa lugha ya kiswahili ni finyu sana! mtu anapotoroshwa maana yake ni mpango uliopangwa baina ya mtoroshwaji na watoroshaji ili kufanikisha azma yao na wakati mwingine mpango wa utoroshaji waweza fanyika bila ya mtoroshwaji kujua kabla,kwa maana hiyo mpango huo unapofanyika wapo watu wanaojua mpango huo mbali ya mtoroshwaji.
kwa hiyo hata wanyama hao walipotoroshwa wapo watu waliohusika na mpango huo, kujulikana kashfa hiyo kwa umma inawezekana kabisa imetokana na kuvujishwa kwa siri hiyo toka miongoni mwa wahusika wa mpango huo, aidha kwa kudhulumiwa mgao au kutotimiziwa ahadi kutokana na mapato ya mpango huo au pengine kwa uzembe tu au sababu nyinginezo.
ZOEZI: tofautisha sentensi zifuatazo,
1. mwizi tuliyemkamata ametoroka.
2. mwizi tuliyemkamata ametoroshwa.

Hujaielewa sridi yangu mtaalam wa lugha,nilichokisema mimi kipo katika hali ya KEJELI,KWAMBA UTARATIBU WA KUHAKIKISHA HAWA WANYAMA WANATOWEKA UNAONESHA KUWA WAKUBWA WANAJUA,SO NDO MAANA NIKASEMA WANYAMA HAWAKUTOROSHWA ILA WAMECHUKULIWA TU,,,,NDIO MAANA BAADHI YA WATU WAMEFANYIWA PROMOTION,PIA KAMA WAMETOROSHWA NOV KWANIN ISSUE IJE IWE HOT BY 2011????;

Back
Top Bottom