Hakuna wanyama waliotoroshwa

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

hujui ufisadi maana yake ni umafia?

ni vingapi vingine vilivyotoroshwa bunge halijagundua?

Kwani bunge likigundua ndo inakuwaje, mbona bunge limegundua utoroshaji wa mamilioni ya Jairo na limebaki kujiumauma tu. Hapa ufahamu wa tatizo unatakiwa, tunachezea matawi ya mtu ati utanyauka- haya mambo yote ni masterminded na mkuu wa kaya, tuache kuwalaumu watu wadogowadogo haitusaidii.

let the dead burry the dead
Wajukuu zetu watakuta mbuga tupu na mashimo makubwa aridhini.wataambiwa kulikuwa na wanyama hapa,kulikuwa na gold hapa,watasoma katika somo la history mashuleni.
RIP tanzania.

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

Usichukie nikikwambia kuwa wewe ni An Intellectual psychiatrict!

Kwani bunge likigundua ndo inakuwaje, mbona bunge limegundua utoroshaji wa mamilioni ya Jairo na limebaki kujiumauma tu. Hapa ufahamu wa tatizo unatakiwa, tunachezea matawi ya mtu ati utanyauka- haya mambo yote ni masterminded na mkuu wa kaya, tuache kuwalaumu watu wadogowadogo haitusaidii.

issue hii haitawahusu wakubwa,,,,,,hao waliokamatwa as wahujumu uchumi matatizo yao yataisha KIMYAKIMYA

hili swali lina majibu page tano kwa mbunge wa cdm na wa ccm ni mistari mitatu tu inatosha

kaka Ivuga hongera kwa kula ndala zote mbili za mzururaji wa jangwani..

ooooh,ndeticha wewe umenena,,,,,,WATANZANIA TUNASHUHUDIA MAIGIZO

RAIA wawili wa kigeni na Watanzania wanne, wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kwa makosa nane ya uhujumu uchumi kwa kusafirisha wanyama hai wakiwamo Twiga kwenda Doha, Qatar.

Wanyama hao wenye thamani ya dola 113,715 za Marekani, sawa na Sh170.5 milioni, wanadaiwa kusafirishwa kwenda Doha Novemba 26, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia).Washtakiwa hao waliofikishwa kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa Kilimanjaro, Simon Kobelo, ni Kamrani Ahamed (29), raia wa Pakistan na Jane Simon Mbogo (33), raia wa Kenya.

Ahamed ambaye ni mshtakiwa wa kwanza, ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Osaka Traders Limited na Jane ambaye ni mshtakiwa wa nne, anafanya kazi Kampuni ya Equity Aviation Services uwanja wa Kia.Washtakiwa wengine ni Hawa Mang’unuka (51), Mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Martin Kimati (58), mkaguzi wa Zoo Sanitary na maofisa wawili wanaoshughulikia ulinzi na

usalama uwanja wa Kia.

Maofisa hao ni Veronica Beno (51), ambaye ni ofisa mfawidhi wa ulinzi na usalama katika Kampuni ya Kilimanjaro Airport Development Company (Kadco) inayoendesha Kia na mwenzake Locken Kimaro (50).

Miongoni mwa mashtaka yanayowakabili, ni kuongoza uhujumu uchumi, kumiliki isivyo halali nyara za serikali, kufanya biashara ya wanyama isivyo halali na kusafirisha nje ya nchi nyara za serikali kinyume cha sheria.

Mashtaka hayo yalisomwa mahakamani na Wakili wa Serikali Kanda ya Moshi, Veritas Mlay, anayesaidiana na mawakili wenzake, Rajana Zakayo na Mchunguhela Malangwe, wanaotokea Dar es Salaam.

Washtakiwa Martin Kimath, Veronica Beno, Locken Kimaro na Jane Mbogo wameshtakiwa kwa makosa mbadala, yakiwamo uzembe wa kushindwa kuzuia kosa na kushindwa kutoa taarifa ya watu wenye nyara za serikali.

Wanyama wanaodaiwa kusafirishwa kwa magendo ni Twiga wanne wenye thamani ya Sh40 milioni, Choroa sita wenye thamani ya Sh25 milioni na aina mbalimbali za Swala wenye thamani ya Sh65.7 milioni.

Washitakiwa hao wanakabiliwa pia na mashtaka ya kusafirisha aina mbalimbali ya ndege.

Mshtakiwa wa kwanza ndiye anayekabiliwa na mashtaka mengi zaidi ya kuandaa, kusimamia, kuelekeza na kufadhili mpango mzima wa uhalifu wa kusafirisha kwa magendo nyara hizo.

Hata hivyo, baada ya kusomewa mashtaka hayo, kuliibuka mabishano makali ya kisheria kuhusu uhalali wa mashtaka dhidi ya washtakiwa na kama chini ya sheria ya uhujumu uchumi walitakiwa kujibu chochote.Wakili anayemtetea mshtakiwa wa kwanza, Median Mwale, anayesaidiana na Andrew Maganga, walitaka mashtaka hayo yafutwe kwa kuwa yamefunguliwa bila kupata kibali cha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).

Akijibu hoja hiyo, Wakili wa Serikali, Zakayo alidai kuwa sheria hiyo inataka kuwapo kibali cha DPP katika usikilizaji, lakini kilichofanywa na upande wa mashtaka ni kufungua mashtaka ya awali.Hakimu Kobelo alikubaliana na hoja za upande wa mashtaka na kuamuru washtakiwa kwenda rumande hadi Juni 24, suala la dhamana litakapoamliwa.

Comrade,asante kwa taarifa hii ambayo pia inaleta chachu kwenye MJADALA HUU

Sasa Advo- Mwale si anaozea lupango?!, mwaka huu tutasikia mengi.

issue hii haitawahusu wakubwa,,,,,,hao waliokamatwa as wahujumu uchumi matatizo yao yataisha KIMYAKIMYA

Wasije tu wakawakorimba ili kuficha ukweli.

Namnukuu Ole Sendeka"SHERIA INAKATAZA KAMPUNI YA KIGENI KUKAMATA WANYAMA,KATIKA UTOROSHAJI WA WANYAMA ZAIDI YA 100,WAGENI WALIPEWA LESENI ZA KUWAKAMATA NA WALITOROSHWA CHINI YA ULINZI WA BAADHI YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA".

let the dead burry the dead
Wajukuu zetu watakuta mbuga tupu na mashimo makubwa aridhini.wataambiwa kulikuwa na wanyama hapa,kulikuwa na gold hapa,watasoma katika somo la history mashuleni.
RIP tanzania.

Al shabaab. Umeona mbali mkuu! I wonder what's ur government good at?

Back
Top Bottom