Hakuna wanyama waliotoroshwa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

Jambo usilolijua................

Nikiandaa mpango wa kumtoa Mfungwa jela kupitia njia zisizo halali kwa kumshirikisha Mkuu wa Jela na baadhi ya askari magereza utaiitaje hiyo??

Hii ni kejeli (satire) jamani, naunga mkono hoja. Hakuna wanyama waliotoroshwa. Walichukuliwa tu kwa kuwa wananchi tumeridhia wapokwe.

karibu tutasikia na raia wametoroshwa kwani huko tunakoelekea itauzwa mpaka nchi

Hivi hatuwezi kulobby kwenye agencies za kimataifa ili dubai waturudishie wanyama wetu?kuadhibu waliohusika kutorosha wanyama hawa haitatosha ninawasihi wabunge/ofisi ya bunge watume ujumbe dubai kudai wanyama wetu adhimu.iundwe kamati ndogo kama ile iliyofuatilia fedha za rada uingereza.

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu jiulize FIKIRI dogo tuu,wanyama walitolewaje mbugani???na walipakiwaje KIA???ndege imekuja na imewabeba kwani hiyo ndege ilitua porini????so wale wanyama walichukuliwa,na naamin hata mkuu wa nchi atakuwa anajua wapo wapi,,,,acha maige,kwani hakukuwa na watu uwanjani????kinachotoroshwa hutoroshwa bila ya watu kuona au kujua,lakini naamini KIA kulikuwa na watu,pia ndege iliyokuja ni ya JESHI ina maana lazima kuwe na mawasiliano na watu wa ulinz na USALAMA,,,,,,,nasema tena mwezi novemba hakuna mnyama aliyetoroshwa

Bajabiri, habari ya funga yako?, umekumbuka kula daku leo?

Kwani kutoroshwa kwa tafsiri sahahi ni nini?

chatu dume,kwa kitendo ambacho kimefanyika ni kwamba wanyama wale wamechukuliwa na MAMLAKA ZA JUU ZAJUA HILO,,,,,,NDIO MAANA HATA SERIKALI ILISHINDWA KUTOA KAULI HADI JUZ NA JANA ILIPOBANWA,TANZANIA SIO SOMALIA USEME SERIKAL HAIJUI KINACHOENDELEA,FIKIRIA ILE NDEGE IMETUA WAPI???????,WENYEWE WANASEMA WALISHA KUWA NA SHERIA YA KUUZA WANYAMA NJE,SASA WENZAO WAMEAMUA KUJA KUWABEBA,,,,,NA HAWATARUD HAO

Nikiandaa mpango wa kumtoa Mfungwa jela kupitia njia zisizo halali kwa kumshirikisha Mkuu wa Jela na baadhi ya askari magereza utaiitaje hiyo??

shark huyo mfungwa utakuwa umemtorosha,,,,,,maana sheria haziruhusu,lakin hao viongoz wetu wenyewe walitunga sheria ya kuuza wanyama walio hai,ikiwa wanashindwa kuisimamia,,,,mi nimeanzisha hii sridi ikiwa katika hali ya KEJELI,,,,,,viongoz hawana cha kudanganya hapa,angalia baada ya hii scandal watendaj wengine wamekuwa promoted

Mwisho ungemalizia hivi...'' I am just speaking...''

seo4.jpg
signature.jpg

xiaoliu3.jpg

Nikiandaa mpango wa kumtoa Mfungwa jela kupitia njia zisizo halali kwa kumshirikisha Mkuu wa Jela na baadhi ya askari magereza utaiitaje hiyo??

Umekula njama ya kutorosha/kumtorosha.

Back
Top Bottom