Hakuna utawala wa sheria Tanzania

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Kama hii mada itaondolewa ndani ya dakika mbili ni mtihani kwa mods.

Kama nikipata BAN i will happily receive it,
Haiingii akilini kuwa watu waliokuwa wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa kuvunja sheria halali za nchi eti WAMEACHIWA HURU kwa sababu ya shinikizo la watu wanaoabudu nao katika imani moja.huu ni UPUMBAVU,UJUHA na USENGErema na UKATAVI katika nchi hii,imekuaje serikali iwashikilie watu kwa kuvunja sheria afu wanaachiwa eti kwa sababu waumini wenzao,Gimme break,ntarudi NO MATTER HOW!
 
Baba V, hata mimi nashindwa kuelewa ni vipi katibu mkuu wa wizara anaiagiza mahakama kutoa dhamana.
 
Kama hii mada itaondolewa ndani ya dakika mbili ni mtihani kwa mods.

Kama nikipata BAN i will happily receive it,
Haiingii akilini kuwa watu waliokuwa wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa kuvunja sheria halali za nchi eti WAMEACHIWA HURU kwa sababu ya shinikizo la watu wanaoabudu nao katika imani moja.huu ni UPUMBAVU,UJUHA na USENGErema na UKATAVI katika nchi hii,imekuaje serikali iwashikilie watu kwa kuvunja sheria afu wanaachiwa eti kwa sababu waumini wenzao,Gimme break,ntarudi NO MATTER HOW!

It only happen in Tanzania, inaonekana dini hiyo SUALA la utii aw Sheria bila shuruti HALIPOOOOOOO!!!! Inashangaza NA kisikitisha KWA kweli, NINI MUSTAKABALI WA NCHI HII???
 
Jamani mkiendelea kujadili hayo, ndugu zetu wamevamiwa na kundi la waliotoka maandamano kule Kigogo, traffic police wamekimbia, watu wamepigwa kwenye daladala, konda amevuliwa nguo akabaki uchi na watu wametokea madirishani.
Habari ndiyo hiyo!
 
Ni lazima yatokee hayo,wanaogopa nini!? wanaweza kuenda wizara ya mambo ya ndani na sheria zikabadilishwa pasipo hata kuli consult bunge, raisi ni mwenzao, makamu ni wao, wa zanzbar nae ni wao,Said mwema ni wao,Ramadhan Ighondu !!? they can do anything!!
 
Hilo kundi itakuwa limetoka Kanisani lengo likiwa kuuchafua uislamu
na wangeweza hata makanisa wangechoma moto.
 
Kama hii mada itaondolewa ndani ya dakika mbili ni mtihani kwa mods.

Kama nikipata BAN i will happily receive it,
Haiingii akilini kuwa watu waliokuwa wanashikiliwa na vyombo vya dola kwa kuvunja sheria halali za nchi eti WAMEACHIWA HURU kwa sababu ya shinikizo la watu wanaoabudu nao katika imani moja.huu ni UPUMBAVU,UJUHA na USENGErema na UKATAVI katika nchi hii,imekuaje serikali iwashikilie watu kwa kuvunja sheria afu wanaachiwa eti kwa sababu waumini wenzao,Gimme break,ntarudi NO MATTER HOW!
Huna akili wewe Mpumbavu mkubwa, hivi unashindwaje kuwalaumu
waliotoa takwimu za uongo wakati sheria inasema wazi kuwa ni kosa.
Dada yenu wa kanisa alipoulizwa akasema sheria haina meno kwa hiyo
sheria hiyo ipo kwa ajili ya waislamu tu?
Wewe ni IBILISI.
 
Tatizo lenu mnasikia Raha sana damu ya muislamu ikimwagika
au hata mkisikia anateseka. Ndiyo maana wakati ule wapemba
na Waislamu wa Mwembechai wanateketea Kwa Amri ya PADRE
Mulifurahi sana.
 
wewe vijisent sio great thinker..kwa mawzo unayoandika imadhihirisha hata upeo wako wa kufikiri ni mdogo
 
Tatizo lenu mnasikia Raha sana damu ya muislamu ikimwagika
au hata mkisikia anateseka. Ndiyo maana wakati ule wapemba
na Waislamu wa Mwembechai wanateketea Kwa Amri ya PADRE
Mulifurahi sana.

Kusoma SI kuelimika, bado tuna safari Ndefu!!!!
 
Huna akili wewe Mpumbavu mkubwa, hivi unashindwaje kuwalaumu
waliotoa takwimu za uongo wakati sheria inasema wazi kuwa ni kosa.
Dada yenu wa kanisa alipoulizwa akasema sheria haina meno kwa hiyo
sheria hiyo ipo kwa ajili ya waislamu tu?
Wewe ni IBILISI.

Pole sana,!!
 
Hilo kundi itakuwa limetoka Kanisani lengo likiwa kuuchafua uislamu
na wangeweza hata makanisa wangechoma moto.

Utapata thawabu mbinguni, na mabikra wenye macho kama vikombe!! go ahead
 
Tatizo lenu mnasikia Raha sana damu ya muislamu ikimwagika
au hata mkisikia anateseka. Ndiyo maana wakati ule wapemba
na Waislamu wa Mwembechai wanateketea Kwa Amri ya PADRE
Mulifurahi sana.

Ulivyozongwa na ukungu wa udini akilini hujui hata nani ndo anaetoa amri kwa jeshi flani, na hao waliokuwa wamekamatwa ilikuwa ni kwa amri ya padre!???
 
Ni lazima yatokee hayo,wanaogopa nini!? wanaweza kuenda wizara ya mambo ya ndani na sheria zikabadilishwa pasipo hata kuli consult bunge, raisi ni mwenzao, makamu ni wao, wa zanzbar nae ni wao,Said mwema ni wao,Ramadhan Ighondu !!? they can do anything!!

Washindweeeeee!!!!!! Nafunika TAIFA KWA damu ya YESU!!!!!
 
Back
Top Bottom