Hakuna uhusiano wa kula chipsi yai na upungufu wa nguvu za kiume,

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
699
Heshima zenu wakuu,

nimekua nikiona watu wengi sana wakipotosha uma kua kula chipsi yai hupelekea kupungukiwa nguvu za kiume.

Maranyingi watu wamekua wakitumia mitandao ya kijamii kupotosha uma kupitia redio,magazeti, blogs, hata public forum kama jf bila kutoa facts za kisayansi(biologia) kuelezea jinsi gani kula chipsi yai hupelekea kuwahi kufika kileleni au kupunguza uwezo wa penis erection

Hali hii imepelekea wanaume wengi kuacha kula chipsi yai wakiamini kua itawapunguzia nguvu za kiume na kupelekea kufakamia ugali wa dona kama desturi

Ikumbukwe,chipsi yai inavirutubisho vya aina tatu,VIAZI ni chakula cha wanga kinachoongeza nguvu mwilini,mayai ni protein ambayo hujenga mwili na ndiyo component muhimu ya sperm,na mafuta huongeza joto.

Kwa upande wangu nimekula chipsi yai miaka nenda rudi sijawai hisi ulaji chipsi umepunguza ufanisi wa nguza za kiume

*MAMBO MUHIMU YANAYOPELEKEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:

1;PUNYETO/MASTERBATION.
99% ya wanaume wameshawai kupiga au wanaendelea na punyote hii haina ubishi,punyeto hulegeza misuli ya uume ambayo hupelekea kuwahi kufika mshindo au kuwa na uwezo duni wa kusimamisha,na hii ndo sababu kuu

2:pICHA / VIDEO ZA UTUPU
hii kwa asilimia chache imepelekea kuzoea maumbile ambayo humtamanisha mwanaume,pia uvaaji nusu uchi wa kina dada umepelekea wanaume kuona viuongo kama mapaja, matiti n.k kua ni vya kawaida hata mnopokua 6 kwa 6 unaona vitu vya kawaida.

3.KUTOFANYA MAZOEZI AU KAZI ZA KUTOA JASHO
pumzi ni muhimu sana kwenye mechi,ukiwa na pumzi ndogo pia kiwango kitapungua.
pia siku hizi vijana hawafayi kazi ngumu kama kulima tangu mashuleni hadi wakiwa maofisini,zamani ilikua kawaida kijana kua na uwezo wa kulima heka 5 kwa mkono wako.ila maisha ya sikuhizi yamekua ya SOFT KOPY hakuna kazi ngumu ngumu.

4:MAGONJWA

Magonjwa kama kisukari,shinikizo la damu, ngiri hupunguza saana ufanisi wa jogoo

hivyo basi niwatoe wasi wasi wanaume/vijana wajiamini, na wasipate wasiwasi juu ya ulaji chipsi yai,maana kwetu mbeya ndio chakula chetu.

Nyiyi ambao hua mnasema wanaume/vijana wa sikuizi wamepungukiwa nguvu za kiume sababu ya kula chipsi yai huo uthibithitisho wa kisayansi mmeutoa wapi?

kama unaushaidi tiririka

note,kwa kupunguza maswali,mimi ni mwanaume wa mikoani

nawasilisha
 
Chipsi ni viazi ni kweli vitakupa nguvu, hayo mayai yanatoka kiwandani au kwa kuku ambaye ameshindiliwa sana dawa ambazo mpaka wewe unakula bado dawa zinakua active.

Mafuta yanayotumiwa kuandaa chakula husika si rafiki katika kuimarisha afya ya mlaji kwanza hua hayamwagwi pili huwa wanatumia mafuta ya gharama nafuu ambayo yana lehemu.
Hiyo lehemu ukijumlisha na yale madawa unapata bomu ambalo dalili zake ni kitambi, matako na moyo kuwa na shida, kwa vile kusimama kwa ub00 kunahusisha damu kujaa mishipani hii damu inakua haipiti ipasavyo au haipiti kabisa hivyo kupelekea uhanithi.
Chips mayai ni junk food, kama una mpango na mwili wako usigeuze junk food kuwa kama pumzi kwako kwamba ni lazima uivute.

Sababu namba moja na namba mbili za kupunguza nguvu za kiume ni uongo. Umenikera.
 
Hivi viazi vikakarangwa virutubisho vyake bado vinaendelea kuwepo..

Mtoa mada usipoteshe watu,moja sifa ya kuwa mwanaume ni.kuwa na.nguvu imara

Sasa chips yai zinaleta nguvu gan??
Unakula saa4 then saa tano njaa inaanza

Kuna wanaume anakula asubuh sosage mbili na.chai nusu kikombe,mchana chips yai na.novida na.usiku anajua mwenyewe.....sidhan mtu anaekula hv akitoka kazn kama ataweza mlidhisha mkewe

Asubuh
Pata chai ya maziwa,chapat na mchicha pemben au kama kula ugali kabisaa

Au piga supu flan amazing,ndan kukiwa na ndizi wale wa mbeya na mosh wataelewa

Mchana,kwa afya ugali,samaki,majani...nyama sio iasue siku moja moja majarage pia

Nk
Nmekuelewa hapo kwenye mazoez,magonjwa,punyeto

Ila.naswali mtu anae tazama porn na yule anae do kila siku wote si huzoea kuona.maungo kwaiyo basi wte wanapata majanga au??
 
mkuu,bado unaendelea kuelezea stori zile zile za vijiweni,elezea mechanisms ya chips yai inavyopelekea upungufu wa kiume

mnakariri mno
 
Chipsi ni viazi ni kweli vitakupa nguvu, hayo mayai yanatoka kiwandani au kwa kuku ambaye ameshindiliwa sana dawa ambazo mpaka wewe unakula bado dawa zinakua active.

Mafuta yanayotumiwa kuandaa chakula husika si rafiki katika kuimarisha afya ya mlaji kwanza hua hayamwagwi pili huwa wanatumia mafuta ya gharama nafuu ambayo yana lehemu.
Hiyo lehemu ukijumlisha na yale madawa unapata bomu ambalo dalili zake ni kitambi, matako na moyo kuwa na shida, kwa vile kusimama kwa ub00 kunahusisha damu kujaa mishipani hii damu inakua haipiti ipasavyo au haipiti kabisa hivyo kupelekea uhanithi.
Chips mayai ni junk food, kama una mpango na mwili wako usigeuze junk food kuwa kama pumzi kwako kwamba ni lazima uivute.

Sababu namba moja na namba mbili za kupunguza nguvu za kiume ni uongo. Umenikera.

wewe utakua mwenyekiti wa CHAPUTA.

punyeto haipunguzi nguvu za kiume?.labda unaelezea punyeto ya vijiweni
 
Wewe kama zinakuongezea nguvu kula, kwani kuna mtu kakukatazaa kula mpaka mayai yaombe poo
 
wewe utakua mwenyekiti wa CHAPUTA.

punyeto haipunguzi nguvu za kiume?.labda unaelezea punyeto ya vijiweni
Jadili hoja mzee kunishambulia mimi haipo sawa.

Mimi nimekupa mechanism ya jinsi gani chipsi yai zitapelekea upungufu wewe sasa nipe mimi jinsi gani hivyo vitu viwili vinapelekea upungufu.
 
Wewe kama zinakuongezea nguvu kula, kwani kuna mtu kakukatazaa kula mpaka mayai yaombe poo

mkuu ,hizo ni story tu za vijiweni.

kama kunamtu chipsi yai ilimpunguzia nguvu za za kiume alete uthibitisho hapa,

akili za kuambiwa changanya na zako
 
Chips haipunguzi nguvuvza kiume.... Ila chips isiwe ndio sole food kwa mtu. Hususan me'
 
Huku mjini asikuambie mtu chips mayai wanawake wakisema hivyo ni zuga tu,nguvu zetu za kiume zinapungua na kupigwa mizinga!!
Na tunakoelekea jinsi maisha yalivyokua magumu tutamtaja hadi rais ndo anasababisha
 
mkuu ,hizo ni story tu za vijiweni.

kama kunamtu chipsi yai ilimpunguzia nguvu za za kiume alete uthibitisho hapa,

akili za kuambiwa changanya na zako
Ndo maana nimekuambia kula mpaka mayai yaombe poo
 
Kwanza mtoa mada una miaka mingapi, maana usiseme nimekula chips yai miaka nenda rudi kumbe una miaka 20 toka uzaliwe
 
Ingekuwa vyema kama ungekuwa umefanya UTAFITI.

TATIZO la wananchi wenye katika nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara ni kutokufanya TAFITI.
 
Back
Top Bottom