Hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani

Yaan mie ndio sisemi, nilishawahi kulalamika humu huwa always nawajali sana rafiki zangu wa kike ila wao huwa hawanijali kabisa sijui kwa nini

kwa mfano sasa hivi napitia wakati mgumu sana maishani mwangu, naumwa hakuna hata aliyekanyaga kuja niona ni ndugu zangu tu,

pia humu, hakuna rafiki aliyenotice sipo sana humu except for ashadii, ndio maisha lakini

Usitegmee sana kupokea wema just tenda wema nenda zako tu thread yako leo imenigusa sana mpendwa, upo lakini?

pole lady Gaga. 'A real friend is the one who works in when the rest of the world work out!'

Sharo tunza hii thread siku moja utaelewa nilikuwa na maana gani.
sio kwamba mi sikubaliani na wewe, bt nakuuliza swali kwmba kama hakuna rafiki wa kweli na wewe tukuweke kwenye kundi gani?
99.9% umesema ni maadui, sasa hiyo 0.1% ni ya nani? au ni yako?

nakubali kuwa hakuna marafiki wa kushirikiana na sisi kwenye shida, lakini wewe utakaekubaliana na hilo pia ni lazima ukubali kuwa na wewe pia sio rakifi wa kweli kwa rafiki zako.................

Yaan mie ndio sisemi, nilishawahi kulalamika humu huwa always nawajali sana rafiki zangu wa kike ila wao huwa hawanijali kabisa sijui kwa nini

kwa mfano sasa hivi napitia wakati mgumu sana maishani mwangu, naumwa hakuna hata aliyekanyaga kuja niona ni ndugu zangu tu,

pia humu, hakuna rafiki aliyenotice sipo sana humu except for ashadii, ndio maisha lakini

Usitegmee sana kupokea wema just tenda wema nenda zako tu thread yako leo imenigusa sana mpendwa, upo lakini?

dah! Pole gaga, post yako imenifanya nijiskie vibaya.
Pole kwa kuumwa mpenzi. Mungu atakusaidi utapona soon. Mtu akikosekana humu tunajua yupo busy. Unaweza laumu marafiki kumbe hawana taarifa. Mara nyingine tuangalie kama nafasi tunazowapa marafiki zetu.

najua ila tatizo tumekuwa tunataraji rafiki zetu watufanyie mambo makubwa au vile tunapenda sisi kwahyo wakienda kinyume tunawaona wabaya au hawafai.
Hebu fikiria upo kwenye shida na rafiki yupo kwenye shida. Ni vipi ataweza kukusaidia?
Kama akishindwa kukusaidia utamuona hafai na kuvunja urafiki?
Hus hapo utajua kabisa kwamba anashida coz mnawasiliana na kujulishana, imagine naumwa nimelala mwezi mzima sitoki home, nina rafiki best mwanaume ndiye anayenijali kwa kuja home kuniona ila wale wa kike ambao huwa wakipata shida au kuumwa huwa hadi nalala nao hospital, wakifiwa huwa nasafiri nao hadi vijjini, wakikwama kifedha nasaidiana, hakuna hata kuja kuniona just wanani sms tu, hii unaiitaje?

Thankx mwaya ni kweli kabisa

hiyo ni tofauti mamy lakini my dear kama ukiumwa nikajua mdada unaumwa hata pole ya maneno ni zawadi tosha ,hata msaada wa mawazo pia ni urafiki wenyewe.

Good explanation and justification but I have had my experience and I now I have restructured my lifestyle

True lakini by doing so you might be closing the doors for those who might need you...

Nadhani jambo la maana ni kutoku-expect the unexpected na kufahamu kwamba binadamu wana mapungufu mengi sana kwahiyo kila unaloweza kulifanya zuri kwa mtu ulifanye pia usitegemee sana mtu ili hata akifanya zuri inakuwa ni bonus..., yaani "don't expect appreciate"..,

kwahiyo mimi hata ninapotoa msaada au mkopo ninajua kwa udhaifu wa binadamu anaweza akalipa fadhira zangu kwa jambo baya lakini hii haitanifanya niache kutenda wema na mwisho wa siku hata hao wabaya watajua kwamba mimi sio mbaya kama wenyewe

sio kwamba mi sikubaliani na wewe, bt nakuuliza swali kwmba kama hakuna rafiki wa kweli na wewe tukuweke kwenye kundi gani?
99.9% umesema ni maadui, sasa hiyo 0.1% ni ya nani? au ni yako?

nakubali kuwa hakuna marafiki wa kushirikiana na sisi kwenye shida, lakini wewe utakaekubaliana na hilo pia ni lazima ukubali kuwa na wewe pia sio rakifi wa kweli kwa rafiki zako.................

Mkubwa usidhani nimekurupuka kuandika hii post. I have been too good to friends, relatives etc but i get nothing in return. Sijui una umri gani na unafanya nini but understand that people have had their experience

pole sana Gaga yaani post yako imenifanya nismile tusamehe mpenzi mie siku hizi nadhani Jf naingia mara mbili au tatu kwa week nipe basi namba yako PM niwe nakutwangia jamani inawezekana wewe ni jirani yangu nije hata kukusaidia kupika.
Pole na kuumwa mungu akusaidie upone haraka
Ahsante FL1 maybe tujifunze kukubali kila kitu ili tusitegemee sana kutoka kwa wapendwa wetu

Yhakuna rafiki aliyenotice sipo sana humu except for ashadii, ndio maisha lakini

Duh hivi kumbe na wewe ulikuwa haupo hata mimi nilikuwa sipo nikashangaa kwanini Gaga hanijulii khali na kuuliza huyu jamaa alikuwa wapi.. Mhh pole sana kumbe wote tulikuwa hatupo

Hakuna kweli bana!
kuna kipindi niliumwa mshikaji akajifanya kuja kunitembelea kumbe alikuwa na ajenda maalum, alikunywa soda zangu zote kwenye friji, halaf skumuona tena! na kama haikutosha akaenda kunipakazia naugua ukimwi kumbe jibaba nilikuwa naumwa na shingo tu niliteleza chooni!

Nimemaliza

Hus hapo utajua kabisa kwamba anashida coz mnawasiliana na kujulishana, imagine naumwa nimelala mwezi mzima sitoki home, nina rafiki best mwanaume ndiye anayenijali kwa kuja home kuniona ila wale wa kike ambao huwa wakipata shida au kuumwa huwa hadi nalala nao hospital, wakifiwa huwa nasafiri nao hadi vijjini, wakikwama kifedha nasaidiana, hakuna hata kuja kuniona just wanani sms tu, hii unaiitaje?

gaga hiyo ni mbaya ila umeshajua kwanini hawajaja?
Usiwahukumu moja kwa moja. Sio kwamba nawatetea ila najaribu kuangalia ni vipi upo kwenye tatizo na watu wako wa karibu nao wapo kwenye matatizo.

Duh hivi kumbe na wewe ulikuwa haupo hata mimi nilikuwa sipo nikashangaa kwanini Gaga hanijulii khali na kuuliza huyu jamaa alikuwa wapi.. Mhh pole sana kumbe wote tulikuwa hatupo
nilikuwa nachungulia tu coz muda mwingi nilikuwa kwenye pain....

Hii yaweza kuwa kweli kwa wanawake kwa kuwa majority tuna roho ya wivu na chuki na unafiki. Kwa wanaume ni tofauti kwani wenye roho kama zetu ni wachache.

Mfano nina kaka yangu ana marafiki zaidi ya kumi na wote ni mabesti kupita maelezo hata send off yangu hakuna mtu alochangia ni hao marafiki wa bro tu watu wote walobaki walialikwa bureee.

Kuna mwenzao wife wake alikuwa ana uvimbe kichwani na walimchangia millions kwenda kutibiwa nje na kwa sasa huyo wife yuko fit (she was seriously sick)
na michango walochanga ni ya maana si kwa kuwa wana pesa ni vile kila mmoja wao alichukulia kama yule ni mke wake hence walikuwa tayari hata kukopa kumsaidia mwenzao.

From my bro's experience nimegundua marafiki wa kweli wapo; ila upande wa sisi wanawake ni shughuli kuwapata. But once you have them ni raha sana.

you need a true friend.....turn to ur mother, some fathers, ur child.....................and few husbands!!! ukishindwa kabisa njoo jf u will definately get people who will show u some love! wengine wanajifanya marafiki lakini kumbe ni hypocrites...they rejoice behind ur back when u'r in pain and they envy every bit of success you encounter! halafu anakuja kwako anajifanya bestfriend....

hiyo ni tofauti mamy lakini my dear kama ukiumwa nikajua mdada unaumwa hata pole ya maneno ni zawadi tosha ,hata msaada wa mawazo pia ni urafiki wenyewe.

ni kweli kabisa. Akikujulia hali inatosha.

gaga hiyo ni mbaya ila umeshajua kwanini hawajaja?
Usiwahukumu moja kwa moja. Sio kwamba nawatetea ila najaribu kuangalia ni vipi upo kwenye tatizo na watu wako wa karibu nao wapo kwenye matatizo.
Wote? sihukumu ila nashangaa tu inakuwaje unaweza kujali sana na wao wasikujali? hasa hawa marafiki zangu wa nje ya JF ambao tunakuwaga wote kwenye goodtimes na bad times

Hakuna kweli bana!
kuna kipindi niliumwa mshikaji akajifanya kuja kunitembelea kumbe alikuwa na ajenda maalum, alikunywa soda zangu zote kwenye friji, halaf skumuona tena! na kama haikutosha akaenda kunipakazia naugua ukimwi kumbe jibaba nilikuwa naumwa na shingo tu niliteleza chooni!

Nimemaliza

hahaha kila nikiona umepost naanza kucheka kwanza

Wote? sihukumu ila nashangaa tu inakuwaje unaweza kujali sana na wao wasikujali? hasa hawa marafiki zangu wa nje ya JF ambao tunakuwaga wote kwenye goodtimes na bad times

hicho ndio kitu cha kujifunza hapo,.
Sio wote utakaowajali na wenyewe watakujali.
Maisha ya kirafiki na kindugu ndivyo yalivyo. Tunakuwa na washkaji angalau tunakuwa na watu wa kuongea nao tunapohitaji kuongea ila kwenye kusaidiana wengi ni tofauti ila haimaanishi uwepo wao si wa muhimu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom