''hakuna mwanamke asiyetoka nye ya ndoa''

Hapo kwenye red nadhani ulikuwa na maana ya ndoa,ila ukweli ndiyo huo hata kwa wababa

OK kumbe ni NDOA mi nlidhani nje ya nchi. Kila la kheri bana.
KUna pahala niliona bandiko hili

HII NI ZAIDI YA TUPO WANGAPI!
Jamaa mmoja alikuwa kenda kusoma Ulaya. Akamwandikia mama yake e mail:
MAMA NINA UKIMWI!
Mama akamjibu: Usirudi hapa kijijini kabisa! Ukirudi utamwambukiza mkeo, mkeo atamwambukiza kaka yako! Kaka yako atamwambukiza hausigeli, naye hausigeli atamwambukiza baba yako! Baba yako atamwambukiza dada yangu! Dada yangu atenda kumwambukiza mumewe! Mume wa dada yangu ataniambukiza mimi! Na mimi ntamwambukiza dereva wetu. Dereva naye atamwambukiza dada yako na kama umjuavyo dada yako tena! Dada yako ataambukiza kijiji kizima!
Mpo????????????????
 
Snow soma vizuri nimenukuu hata mimi ni victim hapo nina mke mzuri na ninampenda haswaaa...
basi usimjumuishe kwenye hii ishu
hujawahi kumkuta,hujawahi kumhisi
muamini katika matendo yake sio umhukumu kwa maneno ya watu au matendo ya wengine!
YEYE SI WANAWAKE,yeye ni mkeo katika upekee wake na mimi ni mke katika upekee wangu,
makosa ya wanawake wengine huna haki kutubebesha wanawake wote tena kwa sababu tu umeambiwa na barmaid kuwa wanawake watoka nje ya ndoa zao!basi we ndo useme hakuna wanawak wasiotoka nje ya ndoa zao!
 
Hapana ni dada yake mangi...soma vizuri

Jipange Sarikoki:JF kuna watu makini sana haya maneno si ndio umeandika wewe?

"huwa tunahudumiwaga na dada yake
mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi
na toka aje shughuli zake zimekua ni
kuhudumia baa mbalimbali na maarufu
hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi
walioko kwenye ndoa maana huwa
anajua mambo mengi na anatusaidia
kuondoa stresi kwa utani na masihara
yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea
kesto yangu baridi na yeye akavutakiti
akakaa pembeni na kuanza
kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani
kwa wiki nzima"
 
naogopa hata kukoment maana jana tu nilikua na wife wa mtu jamaa yake kasafiri
yuko mwanza kikazi kwa hiyo mi shughuli tu kama naendesha baiskeli vile kitu unakibinua
 
Jipange Sarikoki:JF kuna watu makini sana haya maneno si ndio umeandika wewe?

"huwa tunahudumiwaga na dada yake
mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi
na toka aje shughuli zake zimekua ni
kuhudumia baa mbalimbali na maarufu
hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi
walioko kwenye ndoa maana huwa
anajua mambo mengi na anatusaidia
kuondoa stresi kwa utani na masihara
yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea
kesto yangu baridi na yeye akavutakiti
akakaa pembeni na kuanza
kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani
kwa wiki nzima"

Nimekusoma mkuu King Kong.... tafsiri ya baamedi sio mbaya kama ukitaka kuiweka hivyo..ila kwa hapa mtaani tunamjua ni dada yake mangi.... ningetaka hiyo tafsiri ya baamedi nisingeandika dada yake mangi... ila kama unamuona kwa mtazamo huo sio mbaya pia.
 
Hatutoki nje ya ndoa tu, saa tunatoka hata nje ya sayari ya dunia.

Tumethubutu, tumeweza, tunasonga mbele.
 
basi usimjumuishe kwenye hii ishu
hujawahi kumkuta,hujawahi kumhisi
muamini katika matendo yake sio umhukumu kwa maneno ya watu au matendo ya wengine!
YEYE SI WANAWAKE,yeye ni mkeo katika upekee wake na mimi ni mke katika upekee wangu,
makosa ya wanawake wengine huna haki kutubebesha wanawake wote tena kwa sababu tu umeambiwa na barmaid kuwa wanawake watoka nje ya ndoa zao!basi we ndo useme hakuna wanawak wasiotoka nje ya ndoa zao!

Snow... hebu malizia kazi unayoifanya bana alafu uanze kuusoma huu uzi vizuri...Kichwa cha habari sio maneno yangu mimi.. ni maneno niliyomnukuu Dada yake Mangi.
 
Jipange Sarikoki:JF kuna watu makini sana haya maneno si ndio umeandika wewe?

"huwa tunahudumiwaga na dada yake
mangi ambaye alikuja mjini siku nyingi
na toka aje shughuli zake zimekua ni
kuhudumia baa mbalimbali na maarufu
hapa mjini.
Huyu dada ni rafiki ya wanaume wengi
walioko kwenye ndoa maana huwa
anajua mambo mengi na anatusaidia
kuondoa stresi kwa utani na masihara
yake.
Kama kawaida nilipofika tu akaniletea
kesto yangu baridi na yeye akavutakiti
akakaa pembeni na kuanza
kunipaumbea kwa yaliyotokea mtaani
kwa wiki nzima"


Ha ha ha King bana unasoma katikati ya mistari....................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom