Hakuna mtu wa kukuandalia mke/mume wa kuoa/kuolewa nae.

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Nadhani hili halifahamiki vizuri kati ya watu wanaojiita wapenzi pasipo namalengo ya mbeleni ambayo ni dhabiti.

Kumekuwa na maoni tofauti tofauti kati ya vijana na watu wa rika tofauti juu ya mahusiano,huku kila mmoja akiwa na msimamo wake anao uabudu na kuutukuza,wapo wazee wa kuhiti na kurani (hit and run), wapo wa one night stand, na kila aina ya tabia kama hizo.

Ila mwisho wasiku tujiulize swali je?kuna mtu ambaye anamwandalia mwenzake mke/mume wa kuja kuoelewa/kuoa? Nafikiri hili halipo na halitakuja tokea.

My take:Ni vema ukajiandalia mke au mume wa kuoa au kuolewa nae!
 
Yaah..kwa mtazamo wangu, mtu anakuwa na mahusiano na mwingine kulingana na mahitaji yake aidha ya kimwili au kimaendeleo.. Kama ana hitaji la kimwili tu hata kuwa na mawazo ya kujiandalia mke au mume,ila kama anahitaji la kimaendeleo na heshima pia bila kukurupuka then atajiandalia mke au mume..
 
Kama nikuwa namwanamke/mwanaume kwa lengo la kimwili je huwa wanasema?
 
Back
Top Bottom