rwenge
Member
- Aug 15, 2014
- 44
- 22
Je sijui ni mwendelezo wa BRN kwa kawaida mtihani wa kidato cha pili ulikuwa ukifanyika mwezi wa kumi na moja lakini kuanzia mwaka Jana 2013 umeamishiwa mwezi wa kumi na ndio utaratibu mpya
Cha ajabu mpaka muda huu kuna sintofaham kwa wazaz, walimu na wanafunzu juu ya uwepo wa mtihani huo.
Kwani hadi muda huu hakuna ratiba ya mtihani huo na haijulikani mwaka huu utafanyika lini au labda haupo maana si walimu wala wanafunzi hata wazazi wanajua nini hatma ya mtihani huo ni bora baraza la mitihani liwaweke wazi wanafunzi,wazaz na walimu juu ya uwepo au kutokuwepo kwa mtihani huu muhim katika ngazi ya sekondari.