Hakuna mti mgumu kukata kama unashoka na chakula, CHADEMA Kaza buti

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Hakuna mti mgumu kukata kama unashoka na chakula, utakata taratibu mpaka utaisha usiku na mchana wiki moja mbili hadi unapomaliza. Usiwe na hasira utadondoka tuu.
CDM kaza buti hawa wapya anzeni nao mapema kabla hawajatuibia. Kata mbuyu bila kelele tutachukua nchi tuu.
 
ujumbe mzito Benno
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli michwa wameingia kwa mbwembwe mbalimbali mfumo oza huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom