Hakuna mtanzania anayelala na kuota ndoto kwa kiingereza.

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
Ndugu wana JF.

Nimefurahishwa na mazungumzo yaliyoongozwa na Mtangazaji aliyewauwa CCM wakati wa Mchakato majimboni maarufu kama SHABAN KISSU (KIWEMBE) katika kipindi cha LULU ZA KISWAHILI. Ambapo Diwani wa Morogoro Nd. ROBERT SELASELA alisema hakuna sababu ya kuandika kiingereza kwenye mikutano ya Halmashauri na wala hakuna sababu ya kupoteza fedha kwa ajili ya kuandika katika ya Kiswahili na Kiingereza kwani HAKUNA MTANZANIA ANAYELALA NA KUOTA NDOTO KWA KIINGEREZA.............
 
Si kweli! Kuna watu wanaota wanakamilisha thesis zao, hizo huwezi kuota kwa kiswahili au kikwenu!
 
I dreamed i waz taken in "dreamland" & waz spkng eng wid ma room mate hu woz da prince of da land..so it happenz smtymz..ha! ha! ha!
 
Mbona mimi naota kiingereza hadi kiarabu? Ila inatokana na watu wanaokuzunguka wanatumia lugha gani
 
Back
Top Bottom