Hakuna Mtanzania aliyeomba kibali cha kuwa Maskini au kutokuwa na Umeme...

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kuna kitu kinaharibu Taifa hili. Tumeona ujamaa, wizi, ufisadi, utawala wa nguvu, EPA, Richmond na sasa tupo hatua ya Dowans. Dharau gani na utumwa gani tunataka ili tuonekane tunamchukia Kikwete na ccm? Kama ni uuaji mahospitalini, ukosefu wa kazi, ukosefu wa maji, ukosefu wa elimu, ukosefu wa umeme na umaskini wa hali ya juu. Kitu gani kinawafanya Watanzania kuona wanahitaji vibali vya Kupinga Ukandamizaji? Kuna vibali vyoyote vile watanzania walipewa kupata umaskini au kukosa umeme? Vijana tuchukue jukumu la kuleta watu mitaani, baba zetu na mama zetu...tukumbuke Wamisri na Watunisia wangekuwa bado wanatawaliwa kama "Hawaku-Revolt" Tutumie cellphones, face book na other social media kujiunganisha na wenzetu kujikomboa.
"Tujifunze UN na Mataifa yote wanatuunga mkono kumwondoa Kikwete madarakani"

Whereas recognition of the inherent dignity and of the equal and inalienable rights of all members of the human family is the foundation of freedom, justice and peace in the world,

Whereas disregard and contempt for human rights have resulted in barbarous acts which have outraged the conscience of mankind, and the advent of a world in which human beings shall enjoy freedom of speech and belief and freedom from fear and want has been proclaimed as the highest aspiration of the common people,

Whereas it is essential, if man is not to be compelled to have recourse, as a last resort, to rebellion against tyranny and oppression, that human rights should be protected by the rule of law,

Whereas it is essential to promote the development of friendly relations between nations,

Whereas the peoples of the United Nations have in the Charter reaffirmed their faith in fundamental human rights, in the dignity and worth of the human person and in the equal rights of men and women and have determined to promote social progress and better standards of life in larger freedom,

Whereas Member States have pledged themselves to achieve, in co-operation with the United Nations, the promotion of universal respect for and observance of human rights and fundamental freedoms,

United Nation's Universal Decoration of Human Rights

Uhuru Kutoka CCM Hautakuwa Lele Mama, Lazima Tujue wanajeshi - polisi na ulinzi wanatuunga Mkono. Lazima Tuongoze "Mabadiliko"
 
Watanzania tutapata uhuru wetu hata kama Rostam na Kikwete wanataka au hawataki. Lazima tupinge popote policies za ccm.
 
Back
Top Bottom