nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
Muungano wa tanganyika na zanzibar unalazimishwa na maccm na sio wananchi!
Huku ipo wapi nielekeze Nikanunue.
Unajuwa ndugu yangu, haya mambo yanajadiliwa humu kwa chuki na ushabiki lakini sio kweli kuwa hakuna Watanganyika wenye kumiliki ardhi kwa maana ya sheria ilivyo. Kuna wanaomiliki vishamba vidogo, kuna wanaomiliki nyumba za kukaa na kuna wale ambao wametowa mfano mbaya na kuifanya jamii ya Kizanzibari kuwa waangalifu katika kuwapa sehemu za kuendesha shughuli.
Ndugu yangu unaposikia kuwa Baa fulani au gesti fulani imechomwa basi juwa kuwa hiyo ni miliki ya Mtanganyika. Na hii huwa inajibu suwala lako la pili. Ni kuwa wengi hutaka kuanzisha mabaa na magesti jambo ambalo jamii haikubaliani nalo. Kwa vile hakuna sheria ya kumkataza Mtanganyika kumiliki sehemu basi ndio maana wananchi hujichukulia sheria mikononi mwao na wanakuwa makini sana kujiepusha na hadaa za Watanganyika kutaka kununua sehemu kwa ajili ya kilimo au makazi na siku inayofuata utaona kitu ambacho wewe muuzaji unakuwa answerable kwa wanajamii wenzako.
hii tetesi yako ni hatari kama ni ya kweli au ya uongo
.kwahiyo sio kweli kama watanganyika hawamiliki ardhi znz unaposema Mwinyi kwao ni mkuranga basi hiyo sheria haipo au haifanyi kazi maana mwinyi anamiliki majumba na ardhi isitoshe amemiliki hata ikulu ya znz yaani urais wa znz na sio yeye tuu ukiangalia marais wote wa znz ukimtoa mzee Idrisa Abdul wakil walio baki wote ni watanganyika mze Junbe mzee salmini na mzee karume ni Myasa sina uhakika wa malawi au wtz na Aman ndio mzaliwa znz sasa wtanganyika wamemiliki mpaka Ikulu ya znz vp wasimiliki ardhi kama sio uwongo na hata mwakanjuki kwao mbeya alimiki wizara vp asimiliki ardhi acheni choko choko au munatamai kuona damu za wtz mumechoka kuokota condom chakavu wakati wa sherehe kama vile za mwenge na mabonanza munatamani kuokota maiti za watt na kina mama. Kuweni makini jifunzeni kwa nchi zilizo athirika na chokocho.Ali Hassan Mwinyi kwao Mkuranga, Unguja alikuja kusoma Quran tu na hakutoka tena. Yeye na wenzake kibao.
Wakuu,
Naomba kufahamishwa endapo kanisa katoliki, sabato/SDA wanapo milikishwa ardhi wanaiwakilisha Tanzania Bara?
maana nimeshindwa kuelewa jibu hili.
Muungano wa tanganyika na zanzibar unalazimishwa na maccm na sio wananchi!
Hiyo kauli inathibitisha kuwa waznzb hawakuutaka muungano hata huyo alie unganisha znz na tanganyika hakuuopenda aliteleza tuu ktk maamuzi.ndio maana wznzb hawakuiyua znz yao kama sisi wtanganyika tulivyo iyua tanganyika yetuWana msemo wao wazenji kuwa chetu chetu chao chetu...hahahaa
Nd.wana jf. Nasikia ati ni marufuku kwa mtu kutoka bara (tanganyika) kumiliki aridhi,nyumba au jengo huko Zanzibar. Je ni kweli?
Huu ni uongo uliokithiri na kushtadi.
Mfano mzuri ni maeneo ya Chake-Chake, Kusini, Pemba ambako Kanisa la Roman Catholic wanamiliki kiwanja na wamejenga kindergarten
Hapa hapa Chake-Chake, Kanisa la SDA wanamiliki kiwanja na wamejenga hospitali.
Unguja, maeneo ya Cheju, Kanisa la Roman Catholic wanajenga high school.
Lakini kubwa ni kwamba karibu mtaondoka, viwanja vya nini?
Nyie huku mje mlime tu mpaka "muungano" utakapo kata roho.
Ukitaka kujua Watanganyika wanamiliki nyumba angalia na wingi wa baa zinazoendelea kufunguliwa kila siku kukicha na zote ni za Watanganyika halali kabisa ziko mitaani kila kona, tunakaribia kuwa kama bara kila baada ya nyumba3 baa.
Kamuungano kadogo haka kanawatoa mapovu, je mtangamno EAC mnaoutaka mtauweza?'The man shall rise from the hills and save the people at their hour of need'.
Kukiwa na mgombea Urais atakayesema atavunja Muungano kura yangu anayo hata kama ni Fisadi kama EL, nitamchagua tu kuondoa hii kero ya miaka mingi. Ee Mwenyezi Mungu inua kiongozi thabiti atakayefanya maamuzi magumu ambayo wengine wameshindwa.
Mlikuwa wapi hadi wasio na nchi walipokukumbusheni?muungano ndiyo unawabeba, na ndiyo maana wenye nchi yetu sasa tunasema ni basi, irudi TANGANYIKA YETU
sijashawishika kuamini kuwa hao wanaochomewa huwa ni wamiliki wa ardhi. Lakini nimependa namna ulivyojibu.
Umejibu vyema, kwa utulivu na busara.