hakuna mchina hapa

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
nimeweza kudownload operamini version 4 mbili tofaut kwenye mchina tecno T451, na iko poa kabisa,ushauri kama itadhuru cm au lah!
 
nahc ila mtandao ukzngua ndo inakuwa hvyo
 
zipo slow sababu hata edge simu za kichina hazina zina gprs ambayo speed maximum ni 5kBps
 
ha ha ha vuta picha ndo unadownload file la gb kadhaa 4 that speed! Mbona kilio.,...

Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory
 
Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory

ha ha! Zle cmu hazijiwez ila nikiendaga kijijin kwa babu almost kijiji kizima wanatumia! Kama cmu haina sauti jubwa hawaitaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom