Hakuna maji na umemaliza..ungefanyaje we Bosi?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Salam, nikaribisheni jamani hapa kwenu..mie sie mtaalam,
Naanza na hii...wewe ni bosi na wafanyakazi wanakugaya sana, siku moja umeenda haja na baada ya kumaliza wataka kuflashi bahati mbaya hamna maji na kona zote maji yamekatika,ubaya kuna mfanyakazi naye anagonga anataka aingie maliwato...mzigo upo juu...ungefanya uamuzi gani?

Badae....
 
mazingira magumu kama hayo unashangaa akili fasta imechemka mtu mzima unaua soo!
 
Salam, nikaribisheni jamani hapa kwenu..mie sie mtaalam,
Naanza na hii...wewe ni bosi na wafanyakazi wanakugaya sana, siku moja umeenda haja na baada ya kumaliza wataka kuflashi bahati mbaya hamna maji na kona zote maji yamekatika,ubaya kuna mfanyakazi naye anagonga anataka aingie maliwato...mzigo upo juu...ungefanya uamuzi gani?

Badae....

Eboh?
Si anajua kama maji hakuna, kwa hiyo hatashangaa akikuta mzigo juu. Ila ninachojiuliza ni kuwa bosi amesafishaje 'privates' zake, au kaondoka na lubricant?
 
Hivi na nii vijimambo usishangae usione hatari vijimambo mjomba we vikikuta vijimambooo,umenikumbusha huu wimbo wa nura verse ya pili.
 
kwani ofisi huwa haina magazeti?

Yatakuwepo tu, ila bosi atakuwa alibanwa na kitu cha leseni (anaendesha), sasa kuja kutaharuki ameshaharibu ustaarabu halafu ndio maji hakuna, na gazeti hakukumbuka kubeba.
The Boss ana hali ngumu sana, sasa sijui atatuma huyu mfanyakazi anayegonga akalete gazeti, au sijui atatumia leso yake afu aitoe sadaka?
 
Last edited by a moderator:
Eboh?
Si anajua kama maji hakuna, kwa hiyo hatashangaa akikuta mzigo juu. Ila ninachojiuliza ni kuwa bosi amesafishaje 'privates' zake, au kaondoka na lubricant?

hapo ni kupotezea tu,ua anaenda bar kumalizia kazi kikomandoo
 
Eboh?
Si anajua kama maji hakuna, kwa hiyo hatashangaa akikuta mzigo juu. Ila ninachojiuliza ni kuwa bosi amesafishaje 'privates' zake, au kaondoka na lubricant?

Loh!
mkuu umeniacha hoi, nimecheka kwa kugugumia bosi wangu asiulize kuna nini.
eti kitu cha lubricant, hahahaha!

By the way ukitoka hapo unaweka kibao nje; "CLOSED FOR RENOVATION"
Wafanyakazi katumieni choo cha jirani.
 
Yatakuwepo tu, ila bosi atakuwa alibanwa na kitu cha leseni (anaendesha), sasa kuja kutaharuki ameshaharibu ustaarabu halafu ndio maji hakuna, na gazeti hakukumbuka kubeba.
The Boss ana hali ngumu sana, sasa sijui atatuma huyu mfanyakazi anayegonga akalete gazeti, au sijui atatumia leso yake afu aitoe sadaka?

Hapa msaada wa socks unahitajika! Kuliko kutoka na LUBRICANT heri Boss avue socks; moja ajisafishie ingine ahifadhile ile used socks na ajipange jinsi gani atatoka na hiyo pkg bila kuonekana nayo anapopishana na huyu mfanyakazi anayesubiri mlangoni!
 
Last edited by a moderator:
Namtuma huyo mfanyakazi akalete maji...

Hata huyo mfanyakazi anaweza kukuzingua, akakwambia Boss maji kote hakuna! Hapo ni utamuagizia akuletee soda Sprite 3 hivi (Sprite atlist rangi yake iko km maji) basi unajiswafia vyoda!
Poa tu.
 
simple, najifuta (na toilet paper) then mfanyakazi akiondoka nanyata narudi ofsn kwangu(kama mtoto wa darasa la tatu)
 
sasa ni bora umtume lile chupa kubwa la maji ya uhai, la lita 3.

Hata huyo mfanyakazi anaweza kukuzingua, akakwambia Boss maji kote hakuna! Hapo ni utamuagizia akuletee soda Sprite 3 hivi (Sprite atlist rangi yake iko km maji) basi unajiswafia vyoda!
Poa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom