Hakuna kuomba msamaha kwa Kikwete

Ama kweli CCM kuna mambo na kutawaka moto . Nami ningalikubaliana na wazo la kuahirisha ili wakabwe koo wakati wana mkutano wao .Mnyika waombe ndugu hawa waahirishe .
 
Ngoja nicheki na source zangu kwani kuna mambo mengi ambayo tumeyakusudia kuyafanya kabla tu ya Uchaguzi Mkuu wa CCM
 
Mpaka kieleweke mwaka huu.
Tunataka kuona watuhumiwa wakiwajibika.
 
Mtupori,

Rais wa nchi sasa hivi anachoma mabilioni ya safari sijui kama atafanya kitu chochote! Nimesema na nitasema tena kuwa Kikwete anatafuta nchi ya kukimbilia mambo yakimfika shingoni.

So far hajapata maana wengi wamemshtukia. Akishindwa kabisa utamuona anasalenda na kujaribu kubadili mawaziri hapa na pale ili kujikosha. Nimeanza kuhisi kuwa Butiku atapewa uwaziri very soon! na wanajeshi kibao watapewa ukuu wa mikoa na ukurugenzi wa idara mbalimbali.
 
Mkutano upo na utafanyika kama kama kawaida. Isipokuwa badala ya kufanyika hadharani utakuwa kama ilivyotangazwa kwenye ukumbi wa Urafiki, as usual JF yawezekana kupata msosi kabla haujapakuliwa TZ...
 
Mkutano upo na utafanyika kama kama kawaida. Isipokuwa badala ya kufanyika hadharani utakuwa kama ilivyotangazwa kwenye ukumbi wa Urafiki, as usual JF yawezekana kupata msosi kabla haujapakuliwa TZ...

Poa mkuu tunasubiri tuone mambo hayo yako je. Unakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na mapinduzi philippines yalikuwa yanaitwa Peoples power? sasa naona historia itajirudi tutakuwa na peoples power in Tanzania.

PEOPLE POWER IN THE PHILIPPINES
In the mid-1980's a popular movement sprang up to oust the corrupt Philippine dictator Ferdinand Marcos. As the resistance gained momentum, two key military officers defected from the government and sequestered themselves inside a Manila military base. What followed was an amazing example of nonviolent struggle as hundreds of thousands of ordinary Filipinos took to the streets to protect the rebel officers from troops still loyal to Marcos.

"What the story of the Philippine revolution demonstrates is the power people can have when they withdraw consent."
 
Yaliishia wapi bado nafuatililia kwa mbaali ,wahusika wamepoteana au hawajulikani walipo.
 
Back
Top Bottom