Hakuna kinachokela na kama TBC!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Najaribu kuangalia TBC kwa jicho la tatu naona TBC nikama chombo kisichokuwa na vision wala mision bali nikurusha vipindi visivyokuwa natija kwa watanzania!
Naudhika nakipindi cha Benki Kuu na magavana wake!!Panapo nikwaza ni huyu Beno kuongea as if tuna uchumi mzuri!!na wananichefua wanapo mtaja balali!naukizingatia wapo wanaposema yupo!huku serikali ikisema kafa je hakija kuonekana hivi vipindi watavifanyeje wakati watu wanavirekodi??
 
Tatizo ni uongozi. Tido alijaribu kuweka mwelekeo pale wakampiga mweleka.
 
Halafu eti wanasema television ya taifa! Mi cjui hata hawa mafisadi wanatutaka nini.
 
Kinachonikera kingine TBC 1 ni habari za biashara pale ambapo maneno ya mtangazaji yanapishana na mdomo wake. Teknolojia ndio iko chini au umakini ndio haupo?
 
Tbc wizi mvpu.chek star tv siku hizi wanamada nying zinazopendeza na kuelezea mambo kwa kina.
 
Back
Top Bottom