Hakuna kazi RAHISI wakuu hasa kuomba KURA

Huyu Bwana maona kama anacheza mziki unaotoka kwenye hizo spika .Yamkini ni kampeni hizi.
 
Nadhani ni mhanga wa anaegombea ilo eneo so kama kiburudisho kwa mgombea na wapiga kura
 
...,ha ha ha, miaka ile ya 47 tulikuwa tunaimba ♫ ♫ baaaba huyooo, baaaba huyoo...katoka kazini! ♫♫
sijui kizazi kipya watamuimbiaje baba huyu!
Anaelekea anajua kulisakata rhumba, nice foto!
 
kweli kuomba kura si mchezo, mgombea kaamua makusudi kumzalilisha mtu mzima nadhani mwenye umri wa babake ili avute watu, ulikuwa mkutano wa JK nini?
 
Mzee yuko kazini; yumo katika orodha ya watu waliotengenezewa ajira awamu hii yaani ni mmoja kati ya zile milloni zilizoainishwa kwenye ilani ya chama tawala!!
 
kweli kuomba kura si mchezo, mgombea kaamua makusudi kumzalilisha mtu mzima nadhani mwenye umri wa babake ili avute watu, ulikuwa mkutano wa JK nini?

Mkuu umenichekesha sana sana sna ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom