Hakuna jipya heslb!!!

Ibrashinto

Senior Member
Jul 3, 2012
123
6
Nilikuwa nakesha kwenye website yao lakini sasa hata naingia mala mbili tu kwa siku kabla sijalala na kabla sijatoka kitandani hii inatokana na kuzorota kwa website hii kutokuona HABARI MPYA HASWA NINAZOTEGEMEA KUZIONA hakuna jipya kabisaaaa toka mwezi uanze ni wiki sasa na huu ni mwezi wa kufungua vyuo baadhi ya wanachuo watarajiwa! Eebwa Mungu baba wa majeshi watie mioyo ya huruma hawa Heslb
 
Back
Top Bottom