Hakuna husband material...

Wanaume wa Kitanzania tunaogopa wanawake wazuri sana, wenye kazi nzuri, wenye familia nzuri, shule kubwa kwa hofu kuwa kutakuwepo na manyanyaso hapo baadae kwenye ndoa mapenzi yakianza kuchujuka.

Hii yako ni blanket statement. Usiwasemee wanaume wote wa Kitanzania kwani siyo wote wanaowaogopa wanawake wazuri, wenye akili na wenye mafanikio. Wengine ndio tunapenda wanawake wa aina hiyo.

Mwanaume mwenye hofu ya kuwa kutakuwepo manyanyaso hapo baadae kwa sababu ya mafanikio ya mwanamke basi huyo mwanaume hajiamini na uwezo wake katika mambo mengi. Mwanaume ukiwa unajiamini sioni ya sababu ya wewe kuwa na hofu.
 
Fine samahanini wanaume wenzangu kwa kuwasemelea. What i was trying to say ni kuwakilisha yale ambayo huwa nayaona na kuyasikia ila nimeshaomba samahani kwa wale niliowawakilisha pasipo ridhaa yao
 
Last edited:
Hehehehehe...ana mapepe sana huyo...hafai..Lol

Si mapepe, it's about what you like when you see it...if you know what I mean......teh!, teh!

(I see "goody" in January)
 
Wanaume wa Kitanzania tunaogopa wanawake wazuri sana, wenye kazi nzuri, wenye familia nzuri, shule kubwa kwa hofu kuwa kutakuwepo na manyanyaso hapo baadae kwenye ndoa mapenzi yakianza kuchujuka.

Afadhali wewe umesema
 
Mkuu Boss Wako wapi hao?Mimi nina watu wanahangaika mpaka kwenda vijijini kumbe wenzetu mna watu wenye sifa na wapo wapo?
Maana awali ilikuwa ni shida kupata wenye sifa sasa kama wapo-nawaomba niwaunganishie jamaa zangu haswa wa Tarime!
Maana ninavyojua mimi hao hao kina dada uliosema huwa hawataki kabisa kuolea wanasema ni utumwa!
Sikiliza hata wimbo wa mwana FA.

kuna wanawake kama wanane hivi ambao nawafahamu kwa karibu
ambao wana sifa zote za kuolewa haraka but wapo wapo tu...
na wote huwa nasikia wakilalamika kuwa wanaume ambao ni husband material hakuna.....

sasa swali langu hapa ni kuwa kwa nini siku hizi wanawake ambao ni
wife material wapo wengi sana???i mean mwanamke unakuta
ni mzuri,ana kazi nzuri,shule kaenda,familia nzuri..,anajiheshimu but yupo yupo tu.....
je tunaweza kusema tanzania ipo kwenye social crisis???

nchi zingine serikali huingilia kati kama kuna tatizo la ukosefu wa
wanawake au wanaume kwenye masuala ya ndoa,hasa nchi za kiarabu
na za asia....

hivi sisi hatuna wataalamu ambao wanaweza kutupa takwimu sahihi
kuhusu masuala ya ndoa?????
je ndoa zinaongezeka au zinapungua????
sababu ni zipi hasa zinazopelekea kuwepo kwa wanwake wengi
wanaotafuta waume but hawawapati????
je athari zake kwa taifa ni zipi???
watoto wengi wanapozaliwa nje ya ndoa???tufanyaje?????
 
What bout good men out there? is there a husband material especially among Tanzanian men??!!!, surely yea but, what's the ratio, 1 in 10??!!!, Why does it have to be, "a woman needs to be a good wife" all the time. A husband needs to be a good husband too folks.

Well, with Tanzanian men, I have two things in mind, be single or go gay.
 
Last edited:
What bout good men out there? is there a husband material especially among Tanzanian men??!!!, surely yea but, how about the ratio, 1 in 10??!!!,

Where did you get that ratio?

Why does it have to be, "a woman needs to be a good wife" all the time. A husband needs to be a good husband too folks.

You are damn right Kui. It's a two way street.

Well, with Tanzanian men, I have two things in mind, be single or go gay.

Wow! Is it that bad? How about going global?
 
Where did you get that ratio?

You are damn right Kui. It's a two way street.

Wow! Is it that bad? How about going global?

Oh! yea!, trust me...didn't research but, that how it seems like. Just ridiculous, knowing me, naweza niumize mtu where it hurts...

Going global? don't think so, one way better for me. Thanks for advice.
 
[/B]

Oh! yea!, trust me...didn't research but, that how it seems like. Just ridiculous.

Going global? don't think so, one way better for me. Thanks for advice.

Don't limit yourself by just looking at Tanzanian men. By limiting yourself you are doing yourself a disservice. Expand your spehere of romance to include men of other nationalities. Love is love.
 
Don't limit yourself by just looking at Tanzanian men. By limiting yourself you are doing yourself a disservice. Expand your spehere of romance to include men of other nationalities. Love is love.

I understand but, I was talking in regard to Tanzanian men, I know nyie wote in baba mmoja but, it's sad kwa wabongo kwa sababu ni kaka zangu pia.
 
I understand but, I was talking in regard to Tanzanian men, I know nyie wote in baba mmoja but, it's sad kwa wabongo kwa sababu ni kaka zangu pia.

I disagree. I don't think your perceived problem with wabongo men is exclusive only to wabongo men. The back and forth blame game between men and women exists in all societies of this world. Let's keep it real...
 
Am being real especially to y'all (Tanzanians) kwa sababu you're more close to me. But very true, this's all over the place. Men = issues
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom