chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,680
- 22,685
Habari wana JamiiForums,.
Nimemsikia Waziri wa habari na utamaduni akilalamikia Serikali imtengee bajeti ya kutosha kwa wizara yake.
Ubora wa matangazo yake ni wa hali ya chini mno kwani saa nyingine picha hazionekani, sauti hakuna, yaani ni vurugu tupu.
Mambo yanayohusu Upinzani na yenye tija kwa Jamii hawarushi hewani wananchi wapate kuona.
Kimsingi sioni manufaa ya hili Shirila la Utangazaji kwa taifa hili maana mbali na kuendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi wenye itikadi tofauti tofauti bado linaelemea upande mmoja wa Serikali ya CCM,.