Hakuna haja ya katiba wala Muungano Z,bar kama hatutozungumzia mambo ya Muungano?

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1]Wasomi wa Tanganyika wasema katiba ya Muungano isi jadili Muungano jee wasomi wa Z’bar muna semaa jee?[/h]Written by amini // 19/10/2011 // Habari // No comments

KILIMACHO NA CHANGA LA MOCHO KWA ZNZ

[caption id="attachment_33367" align="alignnone" width="197" caption="KILIMACHO"] [/caption] jee kuna tafauti kani ya nembo hizi kabla ya Tanganyika kungana na Zanzibar? tumo ktk tumbo bado la Tanganyika ijitayo Tanzania.

Kiupande wangu Kwa vile ni Mzanzibar nashindwa kuwafahamu hawa wenzetu wa Tanganyika wanaojita wasomi walio bobea na kutuona sisi Wazanzibar Mburumatari na tumezowea kuburuzwa na kuwekwa kizani bila kujuwa haki zetu.
Ndugu zangu Wzanzibar ikiwa katiba mpya isijadili maswala ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ambao hakuna isio juwa kuwa kuna kasoro nyingi ambazo zimeifanya Zanzibar kuwa zaifu na kuizofisha kutokana na katiba ya sasa kulalia upande moja.
Sasa ikiwa tunaikewa pingamizi kuwa katiba mpya isijadili mambo ya Muungano? sasa tuiulize serekali yetu ya smz (SUk) kuna kipi cha kujadili sisi Wzanzibar ktk katiba ya Muungano wakati sisi tuna katiba yetu ya ndani Zanzibar?.
Kama wasemavyo wasomi wa ki-Tanganyika tusijadili Muungano jee?, jee kuna haja gani ya kukaa pande mbili za Muungano kujadili katiba ya Muungano.
Kama tusijadili Muungano kipi chakukijadili Waziri wa Muungano Bi Samia Suluhu sibora arudi nyumbani?.
Mimi nahisi huu ni mtego wakutaka kutufanya Wtanganyika kuwa Wzanzibar mazumburukuku na wapitishe agenda zao za kuendeleza ukoloni mambo leo.
Kwanza ktk katiba mpya nilazima Tanganyika izaliwe upya ili kuondosha utata a.) b. suala la Zanzibar kuambiwa kuwa ni nchi ndani ya Tanzania hii ni mtoto wa kuku kudai maziwa kunyoyo huni udanganyifu wakufanywa blind.
Hawa wenzetu nimajambazi na wenye kuizofisha Zanzibar kukuwa kiuchumi na kimataifa, hujifanya wao kuwa ni werevu kwa faida zao.
Ndugu zangu Wzanzibar nimisada mingapi hupewa Tanzania lakini ikamalizikia Tanganyika bila kuramba shilingi Serekali ya Zanzibar?.
Mimi nahisi viongozi wetu wa smz nilazima wasifumbie macho ujambazi huu wa kujifanya kuikataa Tanganyika kumbe huetumilia Tanzania kwa faida zao na kuji-paplish ulimwenguni kuwa Tanzania ni moja na hata uhuru wa 9dec 1963 umekuwa ni uhuru wa Tanzania sio tena Tanganyika hatari hii.
Hawa wanajifanya werevu wa mambo na kutuziba macho wazanzibar ili kuifuta kimpinu power ya Zanzibar ki-international.
lakini namalizia kusema asari nyingi za Zanzibar husababishwa na viongozi wetu Zaifu wasio wazalendo wa taifa lao la Zanzibar na watu wake nikujilimbikizia mamali na kujiegemeza kwenye chama huku wakiuwa utaifa wao asili.
Mimi namini bila ya Muungano Zanzibar tungepiga hatuwa kubwa ktk mambo yetu ya nchi na International tungeweza kuji prude.
Kwani hivi sasa Wzanzibar hatuheshimiki kutokana na kuungana na hawa majambazi wasiokuwa, leo tukiashia heshima na utamaduni wa Mzanzibar kusifiwa nje na ndani ya nchi imekuwa sote tunaonekana majambazi tu na tusiwo wastarabu, hii imeshangiwa sana na viongozi wetu hususani wenye damu za kizengereko(kitanganyika) kutulisha matapishi na smz/ccm kukumbadia chama kwa njaa zao wasizo ziweza.
Mungu ibariki Zanzibar na kizazi cha wzanzibar.
 
mods funga na hii tena wanatujazia server yetu ya jf na kipemba chao
 
Sama usikike, maana hili suala la Muungano sio la kidikteta. Watu lazima watoe kero zao.
Mimi nataka serikali ya Tanganyika, kabla hata ya tume kukusanya maoni, kunihoji. Kama hawataki sina maoni mengine.
 
hata kama unayosema ni ukweli usitegemee kusapotiwa hapa jamvini bcs memba tayari wanafikiri ndani ya box la tanganyika tu na si ukweli , rai yangu ili upendwe na kugongewa like nyingi fanya yafuatayo
.sapoti harakati zote za chadema hata pale wanapochemka wazi wazi wewe jifanye huoni na endelea kuwasapot rejea ya nasari

.zikiisha habari za muungano mkandie ssana JK hata pale anapofanya vizuri
.linapokuja swala la muungano wewe simama kidete kuwakebehi wazenji hata kama wana madai ya msingi kwa sababu haki wanyoitafuta ni chadema pekee hapa jamvini

.jifanye kuipenda nchi sana na kuwatia fitna kwa ushahid feki wenye moyo wa nchi hata kama wew ndio mwizi wa wavuja jasho.

.usije kujaribu kuulizia elimu za watu wenye utata

.usije kuthubutu ata kwa bahati mbaya kusema wewe una imani ya dini gani apo apo unaweza kuitwa gaidi, alqida etc hapa uwe makini bcs hata ishu ya uko kwenu ishachukua sura mpya na muungano tena.

. ukifata ayo mkuu nakuhakikishia wewe utakua kama ritz na magamba au magwanda na mzee mwanakijiji. ila ukisimamia kweli bila kua mfuasi wa dini au chama mkuu itakula kwako na utegemee matusi tu
 
Hivi wewe Kakke umeshuka leo kutoka MARS? Ulikuwepo wakati mbunge la JMT wanapitisha sheria ya marekebisho ya katiba mpya. Hata kama umetoka leo SPACE STATION uliza kwanza basi kabla ya kuanika ujinga wako hapo.

Thread yako ingepaswa kusomeka hivi "Wasomi/Viongozi wa CCM/CUF/SUK hawataki katiba mpya ijadili muungano, wakati CDM wanasema Muungano ujadiliwe"

Wakati wa kupitisha sheria ya mabadiliko ya katiba wabunge wote wa CCM na CUF = SUK walipitisha kwa kwa kishindo na mbwembwe sheria hiyo ambayo ilikuwa inakataza kujadiliwa MUUNGANO. At least Watangayika tulipata CDM wakatutea hadi wakatoka mbungeni kupinga hiyo sheria ya KISHETANI. Leo unauliza SMZ(SUK) iliyounga mkono muswaada huo bungeni?!.

Tatizo lenu Wazanzibari hamko FOCUSED, hiyo marufuku ya kujadili muungano sasa mumeihamishia kwa Watangayika wakati ni SMS/SUK + CCM walioishadadia na kuipitisha. Hizo HUSDA zenu kwa watanganyika zitawafanya mfe na vijiba vya roho.

Unajua ile hadithi ya SHOKA NA MPINI. CCM Bara ni SHOKA na CCM (ZNZ)and CUF ni MPINI. Kwakuwa wote hao ni kitu kimoja MITI itaendelea kuteketea. Funguka macho mzee.
 
Back
Top Bottom