Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

TUACHE CHUKI JAMAA KASOMA,WENGI HUMU NI ROHO MBAYA TU.
Dr. Ramadhani K. Dau is TAN-RE Board Chairman.
Dr. Dau holds a PhD in Marketing from the Victoria University of Wellington,New Zealand, an MBA from the American University of Cairo and a Bachelor ofCommerce Degree, Marketing option, from the University of Dar-es-Salaam. Dr.Dau serves as Director of The Jubilee Holdings Limited and Jubilee InsuranceCompany of Tanzania Limited, among others.

He is currently the Director-General of the National SocialSecurity Fund (NSSF) Tanzania.
Prior to his appointment at the NSSF in 2001, Dr. Dau held various academicposts at the University of Dar es Salaam.

He is currently theDirector-General of the National Social Security Fund (NSSF) Tanzania.
Prior to his appointment at the NSSF in 2001, Dr. Dau held various academicposts at the University of Dar es Salaam.
 
NAJARIBU KUTAFUTA UKILAZA WAKE MI MBONA SIUONI AU CHUKI BINAFSI

The Secretary General of the International Social Security Associations (ISSA) Mr. Hans-Horst Konkolewsky (l) congratulates Dr Dau for being elected a member of the Governing Bureau of the organization at a brief function at the Cape Town International Conference Centre yesterday. During the short meeting between the two, the ISSA Secretary General confered the honour to Tanzania to host the next Africa Region Social Security Forum at a date to be announced later. this will bring together all social security funds in Africa.
 
hayo matatizo ya kukopi kila kitu hata hakiendani na mazingila husika kisa kinafanywa na wazungu.
Tuna wasomi hatuwezi kuwa na sheria zetu wenyewe nchi nyingine waige kwetu.
siyo mzimza huyu!!!
 
Kuna matatizo mawili:

a. NSSF inaangaliwa na baadhi ya watu kama taasisi kubwa ya uwezekezaji.
b. Kutokana na hilo la "a" dhana ya "social security" inakuwa ni ya pili au ya tatu nyuma. Mfanyakazi aliyechangia kwa muda kwenye SSF na akapoteza kazi kwa sababu yoyote (ukiondoa kifo au ugonjwa) na anatafuta kazi nyingine anakuwa na 'social security" gani?

Kwenye baadhi ya nchi kama Marekani kuna hiki kinaitwa "unemployment benefit" which I believe ni equivalent ya hilo fao la kujitoa. Ni muhimu basi kwa NSSF na wanachama wake kukaa chini na kuamua ni aina gani ya unemployment benefits zitakuwa available kwa mfanyakazi aliyeachishwa kazi. Hili linahusu usalama wa kijamii au HIfadhi ya kijamii.

Fao hili linatarajiwa liwe kwa mfano kwa miezi mingapi mtu atalipwa unemployment benefits wakati anatafuta kazi.

Lakini tatizo kubwa ambalo halijaangaliwa ni kuwa NSSF haikupaswa iwe mfuko wa hifadhi ya jamii. Ndio maana wengine tunasema sera za CCM zimeshindwa. Binafsi naamini ilipaswa iwe Mamlaka (authority) ya hifadhi ya Jamii ikiwa ni taasisi ya serikali ambayo inasimamia Social Security peke yake. Upande mwingine wa huo mfuko ambao ungetaka kuhusika na uwezekaji ungeongozwa na sheria nyingine kabisa na utaratibu mwingine sivyo kama ilivyo sasa.

Lakini watu bado wanaangalia CCM na sera zake kama suluhisho!

Umenena vema mkuu Mwanakijiji
 
Watu wanalipwa mbona? Inategemea wewe ni nani. Nimeanza kupata matumaini baada ya kusikia kuwa dada mmoja mtot wa kigogo aliehamishiwa kufanya kazi nje ya nchi amelipwa, baada ya muda itatufikia hata sie watoto wa mitaani.
Lakini kumsema Dau kama individual ni makosa, yeye anafuata sheria zilizoweka hio taasisi yeye kusimamia sheria ni utaalamu sana na nampongeza.
Lakini kushindwa kwake kuwashawishi mabosi wake kuirekebisha hio sheria ni udhaifu, sio wake pekee bali ni wa mashirika yote ya mafao.
 
hili jibu la "dunia nzima iko hivi" huwa linanisumbua sana......kwanini wengine watufikirie???.......nadhani tunapaswa tufikiri kama sisi kwa kutilia maanani uhalisia wa mifumo na mazingira yetu......
 
mwambie atoke nje ya box. huo ni utetezi wa kipuuzi kutolewa na msomi kama Dr.Dau. tatizo la wasomi wetu ni kufikiri kwamba ni lazima jambo lianzie ulaya afu wao waige. huu ni upuuzi mpevu kabisa. huyu ni mmoja kati ya wakurugenzi wanakusanya pesa ambazo hAwaumizi vichwa kuzipata.they are ready made na ndo maana he cant thnk nje ya box


Dr. Dau amekaa sana kwenye hicho kiti sasa amelewa madaraka. Kwa hela alizojikusanyia kutoka NSSF zinamfanya ajisahau. Forbes walimsahau kumuweka kwenye matajiri 10 wa Tanzania. Hajui mnachokiongea. Hii ni kwa Wakurugenzi wakuu wote wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ninyi mnachangia hela kwa jasho, wenzenu wanakula kiulaini. Wanacopy sheria bila kuangalia situation. Mradi Ulaya hakuna basi na hapa isiwepo. Wanasahau kwamba Ulaya wanalipa watu wasio na kazi Unemployment benefits. Amesahau kuwa Kenya na kwingineko alikosema Dau wana mipango thabiti ya kuwafuatilia wachangiaji wao na kuwapa support ya mikopo ili waendelee kuchangia.
Halafu huyo ndo kasoma. Je asingesoma ingekuwaje? Dau, tunataka sheria zinazomlinda Mtanzania na si sheria za kuiga hata kama haifai.
 
Toka lini watu wa Mafia wakawaviongozi bora. Huyu bwan dau kuendesha ngalawa na sio dr wa kuwaongoza watanzania. Na laaana iwe juu yake. Sooon naenda katisha mafao yangu. Niliyo toa nitachukua watakavyo panga. Lol...

Wewe acha dharau tatizo lako unachuki binafsi mambo ya mafia yanakujaje,yeye kama mkurugenzi anafanya kazi kutokana na sheria na kanuni zilizopo ambazo zimepitishwa na bunge.

Watu wa kuwalaumu ni wabunge waliopitisha hiyo sheria na anachosema Dr ni kwamba dunian pension fund ni tofauti na mfuko wa akiba ambao unaitwa provident fund.Muhimu ungesema kwamba madhali pesa ni zetu tufuate utaratibu unaotunufaisha kama kuchukua hizo baada ya kuacha kazi kutokana na hali ya maisha tulioyanayo.
 
duuh! kwa hiyo imekula kwetu tuliacha sehemu na kuhamia sehemu
 
Dr. Dau amekaa sana kwenye hicho kiti sasa amelewa madaraka. Kwa hela alizojikusanyia kutoka NSSF zinamfanya ajisahau. Forbes walimsahau kumuweka kwenye matajiri 10 wa Tanzania. Hajui mnachokiongea. Hii ni kwa Wakurugenzi wakuu wote wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ninyi mnachangia hela kwa jasho, wenzenu wanakula kiulaini. Wanacopy sheria bila kuangalia situation. Mradi Ulaya hakuna basi na hapa isiwepo. Wanasahau kwamba Ulaya wanalipa watu wasio na kazi Unemployment benefits. Amesahau kuwa Kenya na kwingineko alikosema Dau wana mipango thabiti ya kuwafuatilia wachangiaji wao na kuwapa support ya mikopo ili waendelee kuchangia.
Halafu huyo ndo kasoma. Je asingesoma ingekuwaje? Dau, tunataka sheria zinazomlinda Mtanzania na si sheria za kuiga hata kama haifai.
 
Mkizeeka mtapokuwa hamna mafao mnategemea kuomba omba? mnafanyiwa mambo mazuri ya kuwekewa akiba unapozihitaji kiukweli nyie mnalalama.
 
nimeona na zitto kama kakubaliana na huyu muuguzi/dokita, au ni aje wakuu!!!

Mi nasikitika pale Zitto anaposhindwa kuhoji mambo ya msingi. Maka yote akiwa Mwenykiti wa Kamati hiyo ya Bunge, alikuwa hajaona hiyo issue aliyomuuliza Dau? Ana ka-unafiki fulani huyu Zitto. Aache politiki, aulize mantiki ya juu ya FAO LA KUJITOA
 
Kuna rafiki yangu aliniambia kuwa alikuwa kuuliza swali kwenye vikao vyao NSSF kuwa mbona huko nje wanatusema kuwa sisi tuna pendelea waislamu katika ajira? Dau Ramadhan (PHD) eti alijibu mbona kuna wakristo wengi TRA. Sikumuani rafiki yangu nikidhani anatia chumvi maana (PHD) haiwezi kutoa jibu kama hilo. Lakini nilivyomsikia jana anasema Kenya, Uganda hawana Mafao ya kujitoa nikasema basi jamaa yangu hakuwa mwongo. Mbona pia hajasema kuwa sheria ya kazi ya Tanzania ni tofauti sana na ye Kenya na Uganda
 
To be fair " Hivi wabunge wa bunge la jamhuri ya Tanzania na wawakilishi wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanachangia mifuko hii ya hifadhi ya jamii? na kama wanachangia je wanapoanguka katika uchaguzi wanasubiri au wanachukua fao la kujitoa?kwanini wanajipendelea ikiwa binadamu wote ni sawa? nawasilisha.
 
Mkizeeka mtapokuwa hamna mafao mnategemea kuomba omba? mnafanyiwa mambo mazuri ya kuwekewa akiba unapozihitaji kiukweli nyie mnalalama.

wewe uko wapi? wangapi wanaozeeka siku hizi! hata CCM wana motto yao CHUKUA CHAKO MAPEMA kwani hawaajijui watakuwa wapi in the next few years to come.
 
Tutaandamana nchi nzima ili haki zetu raia zipatikane, TUTAFUATA NYAYO ZA AFRIKA KUSINI. TUMESHACHOKA NA HII NCHI. HELA ZETU ZIMECHUKULIWA NA MAFISADI TUPU
 
Wananchi wakidai haki zao wanaambiwa duniani kote hakifanyiki hivyo. Serikali ikiambiwa duniani kote wananchi wasiokuwa na ajira hulipwa fedha za kujikimu, wanaambiwa siyo lazima tufuate kila kinachofanyika duniani kote. Wameshiba. Wamevimbiwa. Wanatunyang'anya kila tulichonacho.
 
Tutazunguka, lakini kiini cha yote haya ni sisi wenyewe kushindwa kujua tunahitaji uongozi na uwakilishi wa namna gani. Tumejaza watu wasiostahili kuanzia Ikulu hadi bungeni. Dau anaposema ukiachishwa kazi utafute nyingine, hiyo kazi unaitafuta wapi? Kwa nini mambo yenye maslahi kwa nchi hawataki kuiga kwa mataifa mengine, isipokuwa haya ya wizi tu?
 
Back
Top Bottom