Kwa maelezo 2taftane tuongee biashara nmedownload mpaka nmechoka
Kwa maelezo 2taftane tuongee biashara nmedownload mpaka nmechoka
jamani hizo ni line zilizoko nje ya system, ambazo ukiweka kwenye simu zinablokiwa papo hapo. mtaani kwetu zinauzwa sh.5o0 tu jero jero.
weye tukupe 30 elfu.?? kwa kipi kikubwa?
Kaa na hizo line zako sie twatumia proxy bure kabisa tamaa ya nini kawatapeli wenye tamaa. Big up eth2mia na wengine.
hapa tutaibiana sana tu!!
tujuzen kuhusu proxy
jamani naombeni maujanja ya proxy aisee..wanajamvi
Hiyo IP ni kth simu au pc? Na ungetuambia unaipendea nn hasa ukilinganisha na IP nyingine.Ndugu yangu zimo nyingi mno humu jamvini jaribu kusearch utaziona sie wenzio kila leo tunabadili tu kwenye Pc na mobile. Naipenda zaidi Cycle Brain(IP 66.135.50.150 port 80)
Ndugu yangu zimo nyingi mno humu jamvini jaribu kusearch utaziona sie wenzio kila leo tunabadili tu kwenye Pc na mobile. Naipenda zaidi Cycle Brain (IP 66.135.50.150 port 80)
Hiyo IP ni kth simu au pc? Na ungetuambia unaipendea nn hasa ukilinganisha na IP nyingine.
nimejaribu ip ya cycle brain nimesurf kidogo naona network imekatika hata sijajua shida ni nini
Ukiona ina stuck jaribu kuexit na kuingia upya ila kama una browser zaidi ya moja kwenye PC au mobile phone jaribu kutumia IP ya ICanhasproxy nayo ni nzuri sana kwani inakubali javascript, vile vile kwenye facebook inakubali kuchat. Niliipata humu kwa Chief Mkwawa (176.31.222.35 port 80)
mnatumia mtandao gani wakuu?