mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Hakuna aliyepata zaidi ya LAKI 7..Maafa ya Mabomu Gongo La Mboto......Aibu kwa serikali..
Hivi tunaelekea wapi jamani? kwanini serikali yetu ni onevu kiasi hiki? Pesa za wahanga wa mabomu wanataka wazifanyie nini?
Yaani aliyepata kiasi kikubwa ni Tshs. 700,000/= tu wakati kuna nyumba zenye thamani ya zaidi ya ya tshs. milioni 20 kwa nyumba moja zimebomoka, najiuliza kwanini serikali yetu inatuongezea umasikini?
Nasema nimechoka.....dawa kujitoa mhanga ndio heshima itakuwepo.