Hakuna aliyekosea?

Naona shid iko kwetu sisi wenyenchi!
Kwa nini hatuwawajibishi wale ambao tunaona wanakosea?
Sisi ndio tunaowachagua wabunge ambao hugeuka kuwa mawaziri, kwa hiyo badala ya kusubiria "I'm Sorry" zao nadhani inatakiwa tuwe tunawapatiliza kwa kuwanyima kura!
Ni hayo tu
Idimi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom