Hakimu, ofisa elimu kizimbzni wakidaiwa kula rushwa, kughushi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
12717573_1038612822869842_3077880703645975339_n.jpg
 
Takukuru wanaacha kupambana na wakwepa kodi wakubwa wanahangaika na rushwa ndogondogo tu, jamani tutafika kweli?
 
Takukuru wanaacha kupambana na wakwepa kodi wakubwa wanahangaika na rushwa ndogondogo tu, jamani tutafika kweli?



Rushwa ni rushwa tu, tena hizi ndogondogo zina tuumiza kweli sisi watu wa chini, maaana inatuaumbua sana, nadhani jambo la Muhimu naona Serikali pia Iwaboreshe mishahara ya Mahakimu maaana wanaishi maisha ya dhalala tofauti na majukumu makubwa waliyo kabidhiwa ya kutoa Haki, mbona hatusikii rushwa kwa majaji hii ni kwa sababu wao mishara yao iko safi sana!
 
Back
Top Bottom