Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Vipi Dr Slaa, ataongelea suala la ushoga la wafadhili wa Chadema Conservative, au anaogapa shindikizo la kunyimwa masaada..

Navyowajua Conservative, Chadema wakisema chochote juu ya ushoga ni hatari kwao.

Wataambiwa warudishe Magari, Pikipiki, Baiskeli, na pesa za kampeni walizopewa mwaka 2005 na 2010...

Nyie endeleeni tu kukumbatia ushoga

shoga ni yule anelipiwa chumba na kununuliwa suti na waarab..
 
Duuuuh kweli mkuu nakukubali, vipi maoni ya watu hapo ulipo wanasemaje?

Mkubwa! Maoni ya hapa maana Mi nimekita pembezoni mwa mashariki mwa uwanja na hakika raia wana lengo moja la kutotaka kusikiaga neno sisiem hp A town na namnukuu best mmoja hapa "MAMA YANGU MWANAMKE MIMI NIKIAMBIWA UCHAGUE IPI KT YA KABURI NA CCM NAWAAMBIA NACHAGUA KABURI MARA KUMI" mwisho wa kunukuu,ila mambo ni mengi sana washkaji wanabwabwaja tu wakiwa wemefungasha karibu kila mmoja skafu ya CDM shingoni. Mambo ni yenyewe hapa NMC.
 
Wewe wakati mahabusu wanaongea wewe ulikuwa wapi? Usilete porojo sheria zinakataza raia kuongea na mahabusu mpaka ruhusa maalumu..

Wewe ulipewa ruhusa ya kuongea na mahaubusu?
Wewe upo Tanzania ipi! Kama Liyumba akiwa Mfungwa aliweza kuongea na Rahisi tena kwa kumpigia simu itakuwa Mtu mwenye akili timamu kuongea na Mahabusu ambaye hata hajaukumiwa! Na Uelewe kuwa mahabusu walikuwa wana-shout kila mtu aliweza kuwasikia. Ukiendelea na Umbumbumbu huo, Nape atakutoa kwenye Pay-roll yake!
 
Back
Top Bottom