Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Niko maeneo ya france kona hapa karibu na viwanja vya nmc watu ni wengi kwelikweli wakimsubiri kamanda lema atoke mahakamani. Traffic police inabidi wafanye kazi ya ziada kuongoza magari.
Peopleeeez.........!
 
Wewe wakati mahabusu wanaongea wewe ulikuwa wapi? Usilete porojo sheria zinakataza raia kuongea na mahabusu mpaka ruhusa maalumu..

Wewe ulipewa ruhusa ya kuongea na mahaubusu?


wewe huwa huelewi lolote......
 
Chadema bana kwa hiyo hata majambazi, wahalifu mnawatetea? Kwa hiyo Chadema mkichukuwa nchi mnawaachia wafungwa wote..

Na magereza yote mnayafunga tuchinjane hovyo

Huyu ni Great thinker tena kutoka HEAD OF TANZANIA.
 
Kwa mwendo huu wa matumizi ya nguvu ccm watakuwa wanaamsha hasira za watu daily!
 
Back
Top Bottom