Hakimu aliyetoa hukumu ya Lema ana afya njema kabisa

Sasa unataka tukusaidie nini? Mbona haujaongea shida yako kwa wana jf
 
Humu ndani kuna haja ya kubadilika..we cant sing the same song guys..kila mtu ana mtazamo wake wa mambo...naona siasa zinawaharibu sana...mpaka mnaaza kushabikia magonjwa kwa watu wengine..jifunzeni kufikiria critically na sio kuona mambo katika dimension moja tu..very sad , Great Thinkers mnafikiri kama watoto bwana..halafu hata majibu ya baadhi ya watu kama yametolewa mtu akiwa chooni vile...don't u think before u write?? kwahiyo ilikuwa kama sherehe vile mliposikia kua ameparalyse?? na hamtaki kusikia kua ana afya njema?? aibu zenu...
 
Huko kwenye gahawa kuna kufaa sana wewe , maana unaamini sana kil akitu kinachoandikwa humu..source yangu naiamini 100% so i am very sure of what i am saying mwenye evidence aje nazo humu kuprove otherwise..na mimi nitakuja nazo zangu..

Hapo kwenye red, kama wewe huamini kilichoandikwa humu kwanini sisi tuamini ulichoandika humu?
Hivi huyo hakimu asiyehukumu kwa kwa haki kapona mchana huu? Kadanye wale mnaowapa wali na kanga!
 
mkaliwakitaa unatumia nguvu nyingi sana kutetea hoja yako!
umetumwa na nani kumsafisha huyo mtu aisee??

Back
Top Bottom