Hakimu aliyetoa hukumu ya Lema ana afya njema kabisa

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,669
40,917
Kutoka kwa source wa uhakika , rumors kua ameparalyse miguu yote ni uongo wa kupikwa...mhusika..yu salama mwenye afya tele...kubali..kataaa...
 
Hii post nayo itasaidia kupunguza kasi ya kupomoroka kwa ushawishi wa CCM kwa watanzania?
 
tatizo la watu wengi humu mmezoea kulishwa natango pori , na hamtaki kuamini ukweli..mnachagua kuamini kile akili zenu zinapowatuma tu..hii ni mbaya..kwa taarifa yenu ana afya tele...
 
Kwahiyo aki paralyze ndio itamaanisha kwamba Lema ni Nabii?? mh hizi propaganda nyingine!
 
so umeleta coz kuna mtu alileta opposite!
hii nadhani si habari tena! nadhani inafaa zaidi kwenye vijiwe vya Gahwa!

Aliyeleta humu ndani kuwa kaparalyze alikua na mchango gani kwa taifa??? acha kuwa blinded na biasness..
 
wale madakatari wanaomtibu huko kupoza ndiyo wanaushahidi au unataka mpaka liletwe daftari la matibabu yake?
 
so umeleta coz kuna mtu alileta opposite!
hii nadhani si habari tena! nadhani inafaa zaidi kwenye vijiwe vya Gahwa!
Huko kwenye gahawa kuna kufaa sana wewe , maana unaamini sana kil akitu kinachoandikwa humu..source yangu naiamini 100% so i am very sure of what i am saying mwenye evidence aje nazo humu kuprove otherwise..na mimi nitakuja nazo zangu..
 
Back
Top Bottom