Hakiki jina lako kwenye orodha ya wapiga kura

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wana jf, zikiwa zimesalia saa chache kabla ya kupiga kura ni vema tukahakiki uwepo wa majina yetu kwenye orodha ya wapiga kura. Temberea tovuti ya nec uhakiki jina lako.
 
Back
Top Bottom