Hakika sasa nimeamini alichosema Dr. Slaa kuhusu Kikwete

Lakini simshangai rais Kiwete kutumia post yake hiyo ya urais kuzunguka dunia nzima kwa urais wenye aliupata kwa njia feki, hasa uchakachuaji. Na tume ya uchaguzi kumtangaza mshindi wakati hakushinda. Rais Kiwete hawajibiki kkwa wananchi kwa kuwa hawamkupa kura za kutosha kuwa rais wao hivyo aliapishwa tu japo hakushinda.
 
Hivi nyie mlikuwa mnafikiri Kikwete atakuwa rais serious amefanya nini substantial tangu aingie madarakani?

Mimi toka wakati ule 1995 aliposusa nikajua hili ni boya huwa simtegemei kwa lolote i do my own business bila kujali kuna rais ama la that is why i care nothing of his presence.
 
Mleta nadhani hujui kabisa kwa nini Kikwete anasafiri, upunguani wako wa muono na uhaba wako wa kusafiri unakufanya uone kuwa safari ni matanuzi.

Hivi, wewe unajuwa isingekuwa hizi safari leo ungekuwa katika dhiki mara 10 zaidi?

Hivi haya ma gesi yanayovumbuliwaa kila kukicha, haya matalii yanayozidi kila kukicha, haya mahoteli mpaka imefikia kuwa Tanzania ndio imetowa hoteli bora duniani, unafikiri inakuja tu yenyewe? hata bajeti yetu, ingawa kikwete kapunguzi sana utegemezi wa bajeti kutoka nje, lakini still tunahitaji kujazilia, mpaka hapo mambo yatapokuwa mazuri.

Tafadhali kama hauna cha kusema bora ukae kimya.

Kila siku huwa nasema humu, hebu tuchambuwe mambo muhimu tuone ni Rais yupi aliefanya zaidi ya Kikwete? nakuhakikishia huna hata moja.

Si bora Kikwete anakwenda kikazi, Mkapa alienda kupunguza unene Switzerland akaiacha ofisi zaidi mwezi. Kuna hata mmoja alinyanyua sauti aksema kwii.

Nyinyi mnajulikana chuki zenu kwa Kikwete ni kwa nini. Lakini kwa utendaji bora na uchapa kazi, nawapa challenge, hakuna aliyemfikia hata robo. Tusiandikie mate na woino upo.

Barabara? KM ngapi kwa awamu zote? KM ngapi kwa Kikwete? amma zimeshajengwa au mikataba imesha sainiwa.

Mtarusha hili kama kawaida yenu.

For sure kama nyie ndo watanzania wa kuikomboa tz then there is no way it will be. You can't just come and defend silly deeds on the expense of poor tznians. Shame on you kama ndo percent zenu kwa ujinga wa tz. There is nothing remarkable this bogus of yours has done to tz
 
Mletanadhani hujui kabisa kwa nini Kikwete anasafiri, upunguani wako wa muono nauhaba wako wa kusafiri unakufanya uone kuwa safari ni matanuzi.

Si bora Kikwete anakwenda kikazi, Mkapa alienda kupunguza unene Switzerl andakaiacha ofisi zaidi mwezi. Kuna hata mmoja alinyanyua sauti aksema kwii.

Nyinyi mnajulikana chuki zenu kwaKikwete ni kwa nini. Lakini kwa utendaji bora na uchapa kazi, nawapa challenge, hakuna aliyemfikia hata robo. Tusiandikie mate na woino upo.
Ninyi mna chuki zenu tu Kikwete yuko Botwana kikazi zaidi.

Ni mawazo yako tu...kila mtu amemchagua Kikwete pamoja na wewe pia! ”Kikwete ni Chaguo la Mungu” ~ mapadre, maaskofu, wachungaji!!!

Kauli ya mtu wa :shetani: hiyo< hivyo hatukushangai na akina Ritz wenzako
 
Ninyi mna chuki zenu tu Kikwete yuko Botwana kikazi zaidi.

Au siyo bwana! tuna bahati mbaya sana, juzi na boys 11 men, nyingine kubembea! zikaja kibaaao... leo hii Kiduku na akina Makhirikhiri! Hivi kwanini tu Mungu asiimalize hii dunia tujue nani anaenda wapi? kuna jamaa yangu alisema akifanikiwa kufika peponi halafu amkute Rais wetu huko na mafisadi wake ataamua kuondoka maana atajua hakika siyo hapo ndip[o wanapoenda watu wema
 
Hivi, wewe unajuwa isingekuwa hizi safari leo ungekuwa katika dhiki mara 10 zaidi? Wenzako wanapewa pesa hata kuandika thread ya namna yako! Umepata na wewe? Tanzania is the lost Eden everyone wishes to come! Hata tukiweka shati magogoni watakuja tu
 
Mleta nadhani hujui kabisa kwa nini Kikwete anasafiri, upunguani wako wa muono na uhaba wako wa kusafiri unakufanya uone kuwa safari ni matanuzi.

Hivi, wewe unajuwa isingekuwa hizi safari leo ungekuwa katika dhiki mara 10 zaidi?

..

Kwa hio mkuu kwa sababu hiyo niliyo quote hapo juu.Je nchi ambazo maraisi wake hawazururi kama vile Kenya na Rwanda zina dhiki zaidi ya Tanzania?
 
Kweli Kikwete ni chaguo na muungu uitwao CCM. Kikwete ni tunda la EPA. Ni chaguo la mafisi, ni chaguo la wasanii wenzake, ni tunda la uchakachuaji.
 
life its so hard sana...wanafanya mambo yakujiridhisha hao wenyewe bila kujali wananch hambao wanapata kipato kidogo
 
Sometimes mtu unatamani ungezaliwa mbuzi uliwe kitoweo tu kuliko kuzaliwa mtanzania. Damn this country!!
 
Tunavuna tulichopanda...kanuni ya Mungu ni hii,ukichagua kitu lazima uonje faida au hasara zake,nadhani baada ya miaka minne iliyobaki tutakuwa tumekonda tumekwisha na kubakia mifupa.
 
Mleta nadhani hujui kabisa kwa nini Kikwete anasafiri, upunguani wako wa muono na uhaba wako wa kusafiri unakufanya uone kuwa safari ni matanuzi.

Hivi, wewe unajuwa isingekuwa hizi safari leo ungekuwa katika dhiki mara 10 zaidi?

Hivi haya ma gesi yanayovumbuliwaa kila kukicha, haya matalii yanayozidi kila kukicha, haya mahoteli mpaka imefikia kuwa Tanzania ndio imetowa hoteli bora duniani, unafikiri inakuja tu yenyewe? hata bajeti yetu, ingawa kikwete kapunguzi sana utegemezi wa bajeti kutoka nje, lakini still tunahitaji kujazilia, mpaka hapo mambo yatapokuwa mazuri.

Tafadhali kama hauna cha kusema bora ukae kimya.

Kila siku huwa nasema humu, hebu tuchambuwe mambo muhimu tuone ni Rais yupi aliefanya zaidi ya Kikwete? nakuhakikishia huna hata moja.

Si bora Kikwete anakwenda kikazi, Mkapa alienda kupunguza unene Switzerland akaiacha ofisi zaidi mwezi. Kuna hata mmoja alinyanyua sauti aksema kwii.

Nyinyi mnajulikana chuki zenu kwa Kikwete ni kwa nini. Lakini kwa utendaji bora na uchapa kazi, nawapa challenge, hakuna aliyemfikia hata robo. Tusiandikie mate na woino upo.

Barabara? KM ngapi kwa awamu zote? KM ngapi kwa Kikwete? amma zimeshajengwa au mikataba imesha sainiwa.

Mtarusha hili kama kawaida yenu.
Uomba omba kwako ndio ubora wa kiongozi?na unajitokeza kumsifia? Uwezo wako kufikiri unatia shaka,
 
Mkuu,
Sio kwamba hawajui,wanajua kwamba Kikwete ndie aliyevunja na atakayevunja rekodi kwa kufanya mambo makubwa ya maendeleo ya taifa hili.The only problem ni kwamba kuna watu wanasukumwa na hisia binafsi na ulafi wa madaraka kupita kiasi hata kudiriki kutumia damu ya watanzania maskini tujipatia umaarufu wa kisiasa. Ipo siku watakuja kujutia! Inasikitisha sana kuona jinsi damu ya watanzania wenzetu maskini inavyotumika kutafuta popularity kutwaa madaraka.!
Wapiga debe waliwashawishi wananchi wapambane na askari wetu kule Arusha,matokeo yake mliyaona,kadhalika Songea matokeo yake mmeyaona.
Safari za JK zina tija kwa nchi yetu. Utendaji bora wa Rais haupimwi kwa "ni muda gani anakaa ikulu",au anasafiri mara ngapi,tunachopaswa kuangalia ni jinsi gani anatimiza commitments za u-Rais. BTW,rais hatembei na ofisi mfukoni,ndio maana kuna VP,PM,na wasaidizi wengine.! Kama kuna anayewadanganya akiwa rais hatasafiri kwenda nje ya nchi,huyo ni "stupid and idiot president" ambaye kwa sasa hatumuitaji.
Wajinga kama wewe mpo wengi, na madhara mnyosababisha ktk nchi hii ni makubwa mno
 
Watanzania tulishuhudia maisha magumu katika kipindi cha kwanza cha nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya na ilipofika kipindi cha pili akawaambia kabisa bila kuficha kuwa sasa ni nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi, mkiwa na akili timamu bila kulazimishwa mkamchagua ili mpate mateso na ugumu wa maisha zaidi. Kwa kumlaumu sasa mnamkosea, waliochukua hatua ktk kipindi cha pili ni 20% tu ndiyo maana ushindi wake ulishuka hadi asilimia sitini.
 
Mleta nadhani hujui kabisa kwa nini Kikwete anasafiri, upunguani wako wa muono na uhaba wako wa kusafiri unakufanya uone kuwa safari ni matanuzi.

Hivi, wewe unajuwa isingekuwa hizi safari leo ungekuwa katika dhiki mara 10 zaidi?

Hivi haya ma gesi yanayovumbuliwaa kila kukicha, haya matalii yanayozidi kila kukicha, haya mahoteli mpaka imefikia kuwa Tanzania ndio imetowa hoteli bora duniani, unafikiri inakuja tu yenyewe? hata bajeti yetu, ingawa kikwete kapunguzi sana utegemezi wa bajeti kutoka nje, lakini still tunahitaji kujazilia, mpaka hapo mambo yatapokuwa mazuri.

Tafadhali kama hauna cha kusema bora ukae kimya.

Kila siku huwa nasema humu, hebu tuchambuwe mambo muhimu tuone ni Rais yupi aliefanya zaidi ya Kikwete? nakuhakikishia huna hata moja.

Si bora Kikwete anakwenda kikazi, Mkapa alienda kupunguza unene Switzerland akaiacha ofisi zaidi mwezi. Kuna hata mmoja alinyanyua sauti aksema kwii.

Nyinyi mnajulikana chuki zenu kwa Kikwete ni kwa nini. Lakini kwa utendaji bora na uchapa kazi, nawapa challenge, hakuna aliyemfikia hata robo. Tusiandikie mate na woino upo.

Barabara? KM ngapi kwa awamu zote? KM ngapi kwa Kikwete? amma zimeshajengwa au mikataba imesha sainiwa.

Mtarusha hili kama kawaida yenu.
Maisha bora kwa kila mtanzania alisema atayaleta kwa hari mpya na kasi mpya ya safari nyingi?Teh teh teh, halafu kuna wanaokubaliana na wewe.
 
Kwanza chuoni pale mliman alipata degree kiwango cha PROBATUS yaani ikimaanisha alikua natoa necessary company kwa wenzake alafu leo ndo anaongoza nchi mnategemea nini? Ndo mkome!
sLAA BACHELORS YAKE ALIPATA CLASS GANI?
 
Back
Top Bottom