Hakika ng'ombe wa maskin hazai

mamkey

Member
Apr 5, 2012
25
5
nimefanya interview nyingi nyingine nimefanikia kabisa na kutumiwa mpaka sms za congratulations na kuwa wataniita after same days sasa miez cta cjaitwa jamani nifanyeje? No capital,?? No income,??? Ntafantaje mim wakati cna hata wa kumtegemea jamani nisaidieni pliz.
 
da kumbe wewe umetumiwa hata sms za kukupongeza kumbe wewe ng'ombe wako amezaa tatizo amezaa ndama wa jinsia gani mwenzio hata iyo sms tu ndo naisikia kwako
 
Mhhh upo serious au sijaelewa bado hapo umejibu nini pengine au labda funguka more

ndugu papizo, alotoa mada ni MAMKEY mimi ni KILAHUNJA na nimejibu swali alouliza SENETOR cz ana tabia za mizaha ktk maswala ya KAZI, so ts nt a real thing, be disturbed by it no more.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom