nguluvisonzo
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 515
- 71
Hali halisi inasikitisha viongozi wote CCM ni wezi,hakuna atakaye baki mungu tusaidie tuiondoe madarakani,EPA,UDA,RELI,ATC,MEREMETA.Hakika kila scandal ya nchi hii inahusisha viongozi wa serikali na CCM.Nauliza hivi tunaoitetea CCM ni wa Kweli mbele ya mungu?.CCM jinsi ilivyoharibu maisha ya nchi yetu kwa viongozi kujilimbikizia fedha za nchi majumbani kwao,hii haikubaliki kabisa.
Wana JF maana leo nimechanganyikiwa kumbe hata viongozi wa jeshi wanaiba kiasi hiki?wanatoa matamko kana kwamba wao ndio waadilifu kumbe wanachagiza watanzania waichague CCM eti ili AMANI iendelee kuwapo kumbe wote ni kitu kimoja kuifyonza nchi yetu.Nchi yetu inahitaji chama kingine na si chama cha majambazi.