Haki za wanyamakazi

ommsal

New Member
Mar 19, 2011
3
1
Habari zenu wadau.
Katika pitapita zangu baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa nimejionea jinsi wanyama kama punda na ng'ombe wakifanyishwa kazi ngumu sana!!!, na inashangaza kuona wanaadamu tunafanya ukatili mkubwa kwa wanyama hawa, Naomba kujua haki na vyombo vinavyohusika kutetea haki za wanyama kazi hawa!!

Naomba kuwasilisha hoja.
 
Back
Top Bottom