haki yetu ni ipi?

Hkeen

Member
Aug 17, 2011
95
4
Naomba mnisaidie. Nini haki ya mtu anapokamatwa anapoanza kusachiwa na kubambikiwa kizibiti? Mf. bunduki n.k Kumpiga mshukiwa ni makosa je, ni vp unaweza kumuwajibisha muhusika ikawa hamna majeraha makubwa kama ushahidi, hali ya kuwa bado umeshikiwa na police?
 
1. Ni makosa kubambikia watu kesi
2. pia ni makosa kupiga mtuhumiwa. Hata hivyo endapo mtuhumiwa atatumia nguvu inayopelekea kukataa kukamatwa, inaruhusiwa kutumia nguvu ila "isiwe ya ziada." Hapo tumia akili yako kubaini "nguvu ya ziada" ni ipi! Eg. Mtuhumiwa anatumia fimbo sidhani ni busara kukabiliana naye kwa bastola!
Now, what's the remedy?
Hapa ni kufungua kesi ya madai, eg malicious arrest au prosecution! Kumbuka kuwa ushahidi lazima uwepo, eg PF3, riport ya daktari, etc. Kwa ushauri zaidi onana na Advocate yeyote, ukalipe FEE, kisha elezea hiyo issue yako in "Specific terms!"
 
Back
Top Bottom