Elections 2010 Haki yangu ya Kupiga Kura

The Farmer

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,658
557
Wana JF Habarini za mchana.

Nahitaji msaada wa ufafanuzi kidogo kwenye swala zima la wagomea waliopita bila ya kupingwa ambao ni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutakuwa na modality gani itakayotumika siku ya Uchaguzi kwenye majimbo yao (Kwa mfano jombo la Mizengo Pinda). Mini nikiwa kama raia wa Tanzania mwenye haki ya kupiga kura na nisiyetaka kumpigia kura kura mgombea husika.

Haki yangu ya kupiga kura siku ya tarehe 31 ndio itakuwa imepotea?
 
Back
Top Bottom