Haki ya mwanamke

Don Calvino

Senior Member
Mar 3, 2012
113
29
Je ni haki mwanamke(mke) aamue kuletewa mke mwenza (mwanaume kupata ruhusa kuoa mke wa pili)?
 
Je ni haki mwanamke(mke) aamue kuletewa mke mwenza (mwanaume kupata ruhusa kuoa mke wa pili)?

Si haki. Binafsi nilishawahi kuwaonya dada zangu kuwa kama kweli mumeo anakupenda usikubali akuletee mke mwenza kwani penzi haligawanyiki kamwe. Yule (mwanamme) anayeoa mke wa pili kahamua ama kaona penzi kwako limekwisha ilichobaki ni heshima tu hivyo kukuacha hawezi kutokana na sababu anazozijuwa yeye mwenyewe. japo waislam wamehalalisha umalaya kwa mwanamme kuoa wake zaidi ya mmoja nayo pia haisaidii kitu kwani mwanamme aliyezoea kuoa oa hawezi acha hiyo tabia. Utakuta mtu ana wanawake watatu lakini bado anapiga nje :A S 2152:
 
Ni haki as long as na mwanamke ana ruksa ya kuwa na mwanaume wa pili. Satisfaction zenyewe za kubip, wanawasema kweli kwenye masaluni, halafu mnaleta za kuleta!
 
Nasikia wachaga wanaweza kuleta mke mwingine ndani na kukaa na wake wote nyumba moja?
 
Pia nafikiri suala la magonjwa litakuwa rahisi zaidi kupata,maana kama una wake saba utaweza kuwaridhisha wote kwa pamoja? Maana itabidi uwaone mmoja kwa siku,ina maana kwa mwezi wote mmoja mmoja utakuwa umempa haki yake mara nne tu,je hii inamtosha mwanamke kuvumilia ndani ya ndoa?
 
Kiislamu, kabla hujaoa wa pili lazima wa kwanza ajue unaoa na kama ana masharti yake atatoa ama vigezo vyake but hawezi kukukataza. Pia mwanamke huyo, nyumba kubwa anahaki ya kukubali kubaki kwenye ndoa ama kuachana ikiwa hatokubaliana na mume kuwa na mke wa pili.

Inavyofanyika siku hizi wengi hawajui sheria hii, wanajiolea bila kuhusisha nyumba kubwa.
 
Si haki. Binafsi nilishawahi kuwaonya dada zangu kuwa kama kweli mumeo anakupenda usikubali akuletee mke mwenza kwani penzi haligawanyiki kamwe. Yule (mwanamme) anayeoa mke wa pili kahamua ama kaona penzi kwako limekwisha ilichobaki ni heshima tu hivyo kukuacha hawezi kutokana na sababu anazozijuwa yeye mwenyewe. japo waislam wamehalalisha umalaya kwa mwanamme kuoa wake zaidi ya mmoja nayo pia haisaidii kitu kwani mwanamme aliyezoea kuoa oa hawezi acha hiyo tabia. Utakuta mtu ana wanawake watatu lakini bado anapiga nje :A S 2152:

mzee angalia maneno yako hapo nilipo bold juu huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kwa kukashfu dini za watu wengine usitake kuona dini yako ndio muhimu sana kuliko za wengine hebu kuwa kama mtu aliye staarabika usipende kuropoka watu wajue mwisho wa uwezo wako wa kufikiri umeishia wapi.
 
Si haki. Binafsi nilishawahi kuwaonya dada zangu kuwa kama kweli mumeo anakupenda usikubali akuletee mke mwenza kwani penzi haligawanyiki kamwe. Yule (mwanamme) anayeoa mke wa pili kahamua ama kaona penzi kwako limekwisha ilichobaki ni heshima tu hivyo kukuacha hawezi kutokana na sababu anazozijuwa yeye mwenyewe. japo waislam wamehalalisha umalaya kwa mwanamme kuoa wake zaidi ya mmoja nayo pia haisaidii kitu kwani mwanamme aliyezoea kuoa oa hawezi acha hiyo tabia. Utakuta mtu ana wanawake watatu lakini bado anapiga nje :A S 2152:
umeongea vizuri, ulipokosea ni hapo kusema kuwa Waislamu wamehalalalisha umalaya... kumbuka kuwa kuna watu hawana imani hiyo, wanaamini kuishi na mke mmoja tu lakini wana vimada zaidi ya kumi, kila kukicha na nyumba ndogo. usipenda kuzungumzia imani za watu kama huzijui hata waislamu waliambiwa kuwa kama watataka kuoa ni lazima wawe na uwezo wa kuwahudumia wote sawa kwa sawa, kama hawawezi waache, kuhudumia ni pamoja na kuwatosheleza kwa kila mahitaji yao, tofauti na hivyo WASIOWE.
 
Hili ni kosa kama wanafanya hivyo, wanatakiwa wawaambie wake zao kabla ya kuoa na kuweza kuwahudumia kwa kila kitu, uwezo wa kitandani na uwezo wa mahitaji yao, chakula na vinginevyo pia waweze kuwapenda kwa usawa,kama hawawezi waache.
 
Mtoa maada hapo unazungumzia haki ya mwanamke ktk sheria ya dini au katiba ya nchi?weng mmetoa majib kwa hisia zai na si hoja japo hata mtoa maada nadhani alitaraji majibu kama hayo.
 
Mwishowe mtakuja kuuliza

Je ni HAKI mwanamke kubeba mimba kwa tabu, kuzaa kwa uchungu lakini mtoto akawa wa mwanaume?
 
Back
Top Bottom