Haki ya kupiga kura Igunga ipo?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nilitegemea vyama vya siasa kuzungumzia uboreshaji wa daftari la wapiga kura kwanza.

Vijana wengi wamefikisha umri wa kupiga kura maana mwaka na zaidi umepita tangia daftari liboreshwe, watu wamepoteza vitambulisho na wengine wamehamia igunga.

Tume itoe angalau siku mbili za kuboresha daftari na hii itawanufaisha zaidi upinzani!
 
Back
Top Bottom