HAKI Vs AMANI

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Kwa kila Mchambuzi na mfatiliaji wa siasa za tanzania,atakuwa aware na jinsi hivi vitu viwili vinavyoonekana ni tofauti kwa mujibu wa wanasiasa wa Tz,hasa Chama tawala. Kila wanaharakati na vyama thabiti vya upinzani wanapotaka au kuonesha hisia zao juu ya UOZO na ukwapuaji wa rasilimali za taifa,hasa kwa kuandamana,CCM na serikali hujitokeza hadharani na kuhadaa umma wa watz kuwa maandamano hayana msingi eti yatapelekea kuondoa tunu ya AMANI tuliyonayo. Kwa maana nyingine,ni ruksa kutotenda haki,kuiba na kutapel kwa kujificha ktk joho la Amani.
Hivi ni nani asojua mafungamano ya Haki na Amani? Je kukosekana haki hakuleti kukosekana Amani? Enyi CCM,Je hao watz mnaowahadaa kwa khanga na kapelo,watavumilia upumbuvu huo milele?
WATANZANIA TUAMKE,TUJIUNGE NA WAPAMBANAJI,WANAHARAKATI KUIONDOA CCM NA SERIKALI YAKE,IKIWEZEKANA KWA NJIA YA MAANDAMANO..HAKUNA AMANI KAMA HAKI NA WAJIBU HAVIPO!..
 
Back
Top Bottom