Haki na uadilifu nawasihi

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
Viongozi na jami ya watanzania na duniani kote. HAKI na UADILIFU ni walinzi pacha ambao hulinda watu

Madhumuni ya haki ni kuleta umoja kati binadam

Muwe na haki kwenu wenyewe na kwa wengine ili ushuhuda wa haki uweze kufunuliwa kwa njia ya matendo yetu

Asili ya hekima ni kumcha mungu hofu ya kipigo na adhabu yake na kuelewa haki na amulizake

Enyi waonezi wadunia ondoeni mikono yenu kutoka kwenye udhalimu kwa maana nimejifunga mwenyewe kwa kiapo kutosamehe atendaye udhalimu kwa mtu yeyote

Ewe mwana wa ROHO kipenzi kabisa kuliko vitu vyote mbele ya macho yangu ni haki usiikwepe haki ikiwa unanitajimimi(mungu) na wala usiipuuze ili mimi(mungu) nipate kukufanya musili wangu kwa musaada wangu utapata kuona kwa macho yako mwenyewe na sikwa macho yawengine na utapata kujuwa kwa akili yako mwenyewe na siyo kwa akili ya jirani yako waza hili moyoni mwako jinsi inavyokupasa uwe hakika haki ni zawadi yangu(mungu) kwako na ishara ya wema wangu wa upendo basi iweke mbele ya macho yako

Kwaleo niishie hapa ingawa nimengi yanayohusu hii mada asante

nawasilisha
 
Back
Top Bottom