Haki miliki ya bidhaa ya condom kwa jf

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Nina wazo la bidhaa ambayo nina uhakika haitengenezwi na kiwanda chocote duniani. Napenda kutoa wazo la bidhaa ili watanzania mlifanyie kazi hati miliki yake iwe ni ya JF. Ni bidhaa inayoweza kuwa na soko kubwa ndani na nje ya tanzania. Ni bidhaa italitangaza taifa letu nje.na ndani. Ni bidhaa tunayoweza ku export na kupata faida kuliko ile tunayopata kwenye kahawa

Bidhaaa yenyewe ni

CONDOM ZA ULIMI: condom hizi zinaweza kuwafaa

  • wanaume wanapenda sana kwenda chumvini.Idea ya product zitakuwa na vipele kama condom za Mb**** na hivyo kusaidia katika kumpatia raha zaidi mpenzi wake wa kike.zitawafaa wanaume wanapenda romance nje ya ndoa.Akivaa condom ya dudu anavaa na condom ya ulimi. condom hizi zinaweza kuja katika ladha mbali mbali kama machungwa. asali, nk


  • Wacheza sinema wanaolazimika kunyonyana ndimi wakati wa acting wakati si wapenzi wao zitawafaaa pia na hivyo kuwafanya wawe real zaidi kwenye ku act.


  • Itampunguza maambukizi pia ya magonjwa na maradhi mbali mbali.
Mnaonaje wadau ?
 
Hahahaa watu wamegoma kutoa mawazo kumbe hiki "chakula cha usiku" watu hawakitumii.
 
hahahaaaa, sujui utavaliwaje ili lips na ulimi vicheze kama kawa!!!
 
I haven't saw a condom yet in ma life....! What's this thing!?
er

hahahahaha X paster una bahati kama hata kuiona japo kwenye matangazo ya TV. Kwa bongo ni matangazo ya Condoma ni kawaida wanawatumia wachezaji kutangaza mabango kila sehemu. Watoto wa darasa la Tano wenyewe wanajua. Hii ndio jamii tuliyopo Ustadh. Au inawezekana unajia na kuitumia kwa jina lingine teh teh teh .

Kule singida mwalimu muelimisha rika wa TACAIDS alianza kuwafundisha watoto kuhusu condom na ukiwmwi .Wakamuuliza mbona kondom zenyewe zinazowenda singida ni ndogo? Akawaambia kwa umri wao hawatakiwi kutumia wakamuuliza mbona unafudisha sasa?......

Hii ni idea hope wataalamu wanawza kutoka na prototype na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya Creativity na Inovation duniani.

Teh teh teh teh
 
Maelezo ya ziada yanaitajika tafadhali. Unamaanisha nini 'kifaa cha maisha'!?

Right, I will try to explain as simple as I can. Condom is:
1. An apartment complex or;
2. Something that should be worn on every conceivable occasion or;
3. a home for retired semen.
 
Right, I will try to explain as simple as I can. Condom is:
1. An apartment complex or;
2. Something that should be worn on every conceivable occasion or;
3. a home for retired semen.
Duh! Haya bana...! Hii ni confused dot com.
 
Mkuu unaonekana unapenda sana hayo mambo!

Hahahhaah mkuu wewe hupendi.
Hili ni wazo na ubunifu liikifanyiwa kazi linaweza kuitangza Tanzania. Kuna bidhaa gani haki miliki yake na copyright yake chanzo chake ni tanzania.???

Ukiwa Padri ,mchungaji au sheikh unaweza usielewe nini nachooongelea.
 
Back
Top Bottom