Haka ka quine ka celebrity ka moyo wangu hapa JF kananiua kwa mawazo wakuu

utakuja nae Arusha?

No niliyasikia hapa kuhusu huko nimebadiri mawazo yangu. Hivi kumbe sio picha ya cheusi duuuh!
icon5.gif
 
No niliyasikia hapa kuhusu huko nimebadiri mawazo yangu. Hivi kumbe sio picha ya cheusi duuuh!
icon5.gif

aah mgeni karibu bwana sie tunakusubiria...sasa umeahirisha unakwenda wapi?.....hiyo picha ni ya cheusi kabisa namjua
 
Naona Avatar imekuingiza mkenge, jimalize na picha tu kamanda!
25i17d0.jpg

szubg6.jpg
 
hahaha Nyivonduma kumbe weye hiyo hapo ni ya kwako ???:)
hahaa hizi avatar zina mambo shosti!niliiona picha ya hiyo avatar yako mtandaoni nikawakumbuka wanajf wanavyopagawa wkt hatuwezi kuweka picha zetu za ukweli!ngoja siku watuone tulivyo kama hawatakimbia!lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom