Hajui kuhesabu siku zake

Naomba kufundishwa namna ya kuhesabu siku ktk mzunguko wa mwanamke.. nijue siku salama na siku hatari
ili kuweza panga uzazi wa mpango na kuepuka mimba za surprise.

#msinambie ni-google mana nmefanya hivo naona chenga tuu hamna nilichoelewa na vi-apps ndio zengwe kabisa
 
Mkuu
wakati mwingine huhitaji kuanzisha thread nenda jukwaa la jf Dokta hapo unachotaka utakikuta kimejadiliwa vizuri tena kwa upana wake.

Pole Hakika Utaelewa haraka sana sio kungoja mpaka thread yako ije ichangiwe baadhi ya Member jambo likiwa lipo tayari humu jukwaani huwa hawachangii tena.
 
Asante kwa kunijuza kuwa tayar ina nyama naweza kula huko jdokta. Nilikuwa sjui kama kna waliopata shauku kama yangu.
 
Naomba kufundishwa namna ya kuhesabu siku ktk mzunguko wa mwanamke.. nijue siku salama na siku hatari
ili kuweza panga uzazi wa mpango na kuepuka mimba za surprise.

#msinambie ni-google mana nmefanya hivo naona chenga tuu hamna nilichoelewa na vi-apps ndio zengwe kabisa

Anapoanza tu blid hesabu siku 14 kuanzia cku ya 13 hadi 16 kimbia.
 
Kifupi ni kwamba siku ya mwanamke kupata mimba ipo moja tu ndani ya mwezi. Weka kanuni moja akilini.

Unachotakiwa kufanya ni kumchunguza demu wako kuwa huwa anapata bleeding baada ya siku ngapi. Most of them ni kila baada ya siku 28 au 30. So ile siku anayoanza bleeding ongeza siku 14. So kwenye hiyo siku 14,15, au 16 .Unaweza kupata Jembe au Sweet.
 
Back
Top Bottom