Hajui kuhesabu siku zake

mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu

Uwe unatumia condom kuepuka mimba zisizo talajiwa
 
kama anashindwa kuesabu cku zake ww muesabie lkn ilo tatizo na inaonekana ajui kusema no! kwa kila anayemtogoza
 
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu
Aende marekani,china au urusi, hawa watamhesabia hadi siku ya kutua mwezini na kurudi duniani,hawa jamaa ni hatari kwa mahesabu eti!!!!!!!!!!!!!
 
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu

Kumbe mwezini lol anafanya utafiti wa nini huko angani?
 
at the age of 24 I was very professional, nadhani kwasasa nimeshakuwa professor, I wish ningemjua nimpe darasa la uhakika.
 
Nunua kalenda ya chumbani awe anaweka cycle
Na siku za danger zikianza aweke alarm
 
Aende marekani,china au urusi, hawa watamhesabia hadi siku ya kutua mwezini na kurudi duniani,hawa jamaa ni hatari kwa mahesabu eti!!!!!!

sasassijui huu ni ushauri au nini
 
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu

24 unalaumu hajui kuhesabu mimi zee zima na mvi kichwani sijui na sitaki kujua. Kama unajua kumuhesabia kwa nini umlazimishe ajue kuhesabu wakati wewe upo? Mwache mtoto wa watu, mhesabie ukichoka mwache.
 
mpenzi wangu hajui kuhesabu siku zake za kwenda mwezini na ana umri wa miaka 24 hajui siku zake za hatari yani kushika ujauzito kila siku nampa somo lakini aelewi nifanjaje ndugu zangu

Usijali kama yuko pekee we hesabu tu kwani hakuna ubaya, mbaya ni pale unapokuwa na wengi kwani uutakuwa ukihesabu siku za huyu unazipeleka kwa yule na za huyu unaleta huko! Ingekuwa mie, nafanya makusudi sizikariri ili nawe upate assignment kwani haina haja ya kuuliza uliza nami nakuwa na majukumu mengi kibao ya kuintergrate na kukokotoa hesabu kubwa kubwa za namna mitambo inafanya kazi sina taimu ya kuhesabu hayo!

Kama vipi ikishindikana, tuijaze dunia tu.
 
Pole sana ila uzoefu wangu unaniambia kuwa wengi wao wanashindwa kuhesabu ni MABEKI TATU je shemeji yetu yupo kundi hilo?
 
usijali kama yuko pekee we hesabu tu kwani hakuna ubaya, mbaya ni pale unapokuwa na wengi kwani uutakuwa ukihesabu siku za huyu unazipeleka kwa yule na za huyu unaleta huko! Ingekuwa mie, nafanya makusudi sizikariri ili nawe upate assignment kwani haina haja ya kuuliza uliza nami nakuwa na majukumu mengi kibao ya kuintergrate na kukokotoa hesabu kubwa kubwa za namna mitambo inafanya kazi sina taimu ya kuhesabu hayo! Kama vip ikishindikana, tuijaze dunia tu

Nimejisikia raha sana kuikuta coment coz nilikuwa nimeudhika sana.
 
Sorry, buy a laptop and install an ovulation calendar but she is required to know her last date of the period, cycle length and luteal phase. Also she is required to update those information after some few months. May be it will help her!

Try to google "ovulation calender", you will get enough information about this!
 
Back
Top Bottom