Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,039
- 2,199
Nimeipenda sana hii!
pamoja mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda sana hii!
Mkuu, watanzania wamebadilika, wewe subiri uone kifo cha magamba 2015.
Samahani kwa atakaye uliza source:
Ni hivi toka jana nawambia mambo ya ndani ya vikao vya muhimu kuwa waziri mkuu na baraza lake wamegoma kuondoka kwa sababu ni aibu sana mawaziri hao wanataka waondolewe kwa njia ya mabadiriko ya baraza la mawaziri lakini si kwa shinikizo kama la Zitto.
Sababu za wazi kabisa:
Wangekuwa na nia wangekuwa wamesharangaza kujiuzuru lakini wote wameomba mda warekebishe kasoro hizo lakini si kuwajibika kwa madudu yao.
Mpaka sasa hakuna kauli ya Rais wala waziri mkuu wake.
Wakuu ndo ukweli hakuna anayetaka kutokupishwa barabarani kwa ving'ora

Anzisha movement ya kuwang'oa hawa wezi mkuu.kama kusubiri 2015 maafa yake ni makubwa kwa nini isiwe sasa?
Mbona hii ipo poa? Au wewe una brain concussion!
Mbona hii ipo poa? Au wewe una brain concussion!
Ina u-upoa gani hii Mkuu, we huoni zimejaa hisia tu hapa!
Mathread ya hivi ndio yanayoporomosha hadhi ya JF na mtu kama wewe unashabikia mpaka kukosea wenzio heshima wakati mi nimekosoa kiungwana tu!
Anzisha movement ya kuwang'oa hawa wezi mkuu.
kwa kweli ka imani kangu nilikonako kwa huyu jamaa zitto leo tena kameongezeka
Sio lazima uwe mjengoni mkuu, unaweza ukaanzisha street marching, demonstrations, etc, hata bila kuwa mjengoni.hapo hadi uwe mjengoni .. maana huko ndo walau waweza kuropoka ukasikilizwa
Sio lazima uwe mjengoni mkuu, unaweza ukaanzisha street marching, demonstrations, etc, hata bila kuwa mjengoni.
Hivi Rais ameisharudi?
Waziri Mkuu yupo kikaangoni atoe tamko gani?