Haji ghetto mpaka st.anna na kiti moto nusu kilo.

Kottler Masoko

Senior Member
May 28, 2010
193
28
MAMBO VIPI WADAU!!

Ndugu yenu nipo ktk michakato ya kutafuta Permanent GF,maana nimechoka kuchakachua na umri nao unasogea kwa kasi ya kimondo.
Nimefanikiwa kupata Kibinti Kimoja toka Kaskazini mwa Tanzania ( Chembamba,rangi ya Chocolate, Macho makubwa meupe pee,karefu ila me ni mrefu zaidi yake,kana nywele black ndefu nzurii, sema meno yake ni ya Gold) anasoma Chuo Kimoja katikati ya Jiji hapa, kwa kweli kazuri na katamuu..
Ila kuna tatizo moja linanikera mno, ni SIKU akiwa anakuja home kwangu ni mpaka masharti kibao yakiwemo,anakuja kwa muda anataka yeye,lazima ununue chupa 2 za st.Anna na nusu kilo ya kiti moto,na zawadi yoyote (kama ni perfume au underwear basi ziwe za ukweli vinginevyo atakususia) so hata cjinafasi nae vile me nataka mazee mpaka nahisi kama naibiwa kimtindo flani hivi...
HIYA C MATATIZO JAMANI!!!

Angalizo:
Please kama una matusi, madongo na maneno machafu bora usicomment,this is for men who real feel the pretty women(suffer like me) and and women who real like to be treated like pure queens...NI hayo tu.
 
maybe ulianza nae hivyo from the first day, women wanatabia ya kuzoea, muonyeshe msimamo wako, mwambie kuwa hiyo tabia huipendi, kama nankupenda she will listen if not, then utajua ukweli
note: wanawake hupima misimamo na kama huna atakudrive...........
 
sasa unauliza nn hapo?........kwanza ushanichefua kitimoto kharam kabisa na ukome kukitaja jamvini
 
We unanishangaza kweli chalii wangu! Unataka pamanent GF? ndo mdudu gani huyo? ungesema unataka wife ningekuelewa. GF hawezi kuwa pamanent coz ni rafiki tu. Muda wowote anaweza akachomoka, kama hao wengine walivyochomoka. Kosa lingine wewe unaingia kwa mademu kwa gia ya pesa chalii wangu, yan watakukoboa ubakie chenga. Kama hujui wanawake ni kama sime kaka, wanakata kote kote. Ukijileta kama unazo basi kwa matumizi ndiyo wenyewe, ukijileta kama wa kawaida ataishi kikawaida kulingana na mfuko wako, hata ukikubalika na senti huna unaweza kuwa unapewa mafungu. Huyu ndiyo mwanamke. Anaishi kwenye hali zote bana kulingana na ujinga wako au werevu wako!
Pili, kwa maelezo uliyoyatoa, huyo demu hakupendi tena ana jamaa wake na akiwa free na hamu ya kugonga hiyo noah na wine ndo anakutafuta, na anahakikisha hajala bure na perfume unatoa. Yan wewe chalii wangu, kwani wewe hushtukii unachezewa kama ATM ya NMB? Sasa wewe jaribu kumwambia siku moja, nimekuandalia NOAH, wine na marashi halafu usinunue hata kitu kimoja, uone kama hata denda utapewa!!!!!! Utasukumwa kama kanumba (akukanumbe) oooh! sasa hapo ndo utajua huna lako, na hiyo dhana ya pamanent GF utaitoa kichwani, uweke ya pamanent wife.
 
Wacha akutumbue kwani mzigo siana kupa.Angekuwa hakupi yangekuwa mambo mengine.Komaa naye tu ndo wengi wao wa kaskazini wa livyo labda anajua unamchezea tu ndo maana ukimtosa asiumie awe na kitu chakujisifia.
 
Wacha akutumbue kwani mzigo siana kupa.Angekuwa hakupi yangekuwa mambo mengine.Komaa naye tu ndo wengi wao wa kaskazini wa livyo labda anajua unamchezea tu ndo maana ukimtosa asiumie awe na kitu chakujisifia.

Mkuu umeshapost thread yangu aisee! Umeni pre-empty kabisa, lol!
 
ulimwambia unataka awe permanent gf? Hizo ndo characteristics za girlfriends kaka, ungetaka mke angebehave kama mke.
 
maybe ulianza nae hivyo from the first day, women wanatabia ya kuzoea, muonyeshe msimamo wako, mwambie kuwa hiyo tabia huipendi, kama nankupenda she will listen if not, then utajua ukweli
note: wanawake hupima misimamo na kama huna atakudrive...........

Nashukuru mkuu kwa maneno yako mazuri na yaliyojaaa hekima and I will work on.
 
kama una uwezo wa kufanya hivyo kwann ulalamike?kiukweli hapo huna mtu just someone looking for alternative means...tafuta ambaye hata mkila ugali kwa mnafu anaridhika...
 
Back
Top Bottom