MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Sawa The Boss ninakuelewa kaka na ninaomba radhi kwa kutumia maneno makali ya mzinzi. Lakini ninachosisitiza hapa si sahihi kumshauri aendelee na ndoa kwa kuwa ndoa kwa mujibu wa sheria(ambayo ndoa yake ya kwanza imesimamia)bado inahesabika kuwa ipo (unless zimefuatwa taratibu za kuitengua) hapa tunafungwa na sheria ama sivyo mbona institution ya ndoa ingekuwa uwanja wa fujo zaidi ya ulivyo sasa?!