Haja Ya Kuwepo Wawakilishi Wa Zanzibar Kwenye Balozi..

Ninadhani suluhu itakayokata mzizi wa fitina ni kuwa na serikali ya majimbo ambayo Zanzibar itakuwa jimbo lenye Gavana wake kama majimbo mengine. Hii itawapa Wazanzibari wasaa mzuri wa kuamua mambo yao wenyewe katika ngazi ya jimbo na vile vile itatoa haki sawa kwa majimbo mengine.
 
Mimi naona afadhali huo muungano uishe, kila upande ushike ustaarabu wake. Mimi nasubiri tu kwani ingawa serikali na CCM inajivuta vuta siku hiyo itafika tuwe nchi mbili tofauti na kero zitatuishia sote, then tutaishi raha mustarehe!---

Historia ya dunia inaonyesha kuwa hii miungano ya kulazimishana mwisho wake huwa utengano tu.
 
Lakini historia inaonesha kama kinyume vile... Nchi nyingi duniani hazitengani bali zinaungana katika kutatua matatizo...

SteveD.
 
Ninadhani suluhu itakayokata mzizi wa fitina ni kuwa na serikali ya majimbo ambayo Zanzibar itakuwa jimbo lenye Gavana wake kama majimbo mengine. Hii itawapa Wazanzibari wasaa mzuri wa kuamua mambo yao wenyewe katika ngazi ya jimbo na vile vile itatoa haki sawa kwa majimbo mengine.

hili poleni, hatutaki kulisikia, na ndio maana CHADEMA hawana chao zanzibar.
 
Kuna kitu kinanitatiza, kama kuna maafisa wachache Foreign Affairs wa kutokea Tanzania visiwani wanataka wakawe recruited kilazima?
Mambo mengine watu tunapenda kulalamika lakini hatuangalii na idadi ya wahusika katika sehemu hizo.
Suluhu ya muungano ni serikali tatu au moja....other than that tunadanganyana tu
 
Zanzibar kama wanahitaji kuwa na wawakilishi zaidi uwekwe mpango kamambe ili wawalipie mishahara n.k. kutoka bajeti yao ya serikali ya mapinduzi na tuache kutumia hovyo pesa za walipa kodi kwa uchu wa madaraka.

Hivi sasa serikali ya Zanzibar ina wawakilishi wengi sana per head katika serikali na sina uhakika kama kweli wote wanahitajika kulipwa pesa nyingi hivyo bila kazi za kueleweka.

Kwani hao waliopo sasa wanalipwa na nani? na kwanini wasilipwe na Muungano kama hao waliopo sasa! Na hao wanaotangaza madini na mbuga za wanyama mbona hawalipwi na Tanganyika? na wapo kwenye balozi hizohizo. Hawa jamaa wakipiga kifua kwenye nyanja za kimataifa mnawaletea kauzibe.
Tanganyika imejificha kwenye Muungano ili ifanye inavyofanya sasa, na ndio Mchonga akapinga kwa nguvu yote kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika, coz alijua kufanya hivyo kutaifanya Zanzibar irudishe heshma yake kama nchi kwa 100%.
A DAY WILL COME
 
Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika 1964 ikiwa huru. Ina nafasi sawa katika Muungano huu kwa kuwa wameungana kama nchi nasio idadi ya watu wake. Wekeni Tanganyika yenu mchezo umalize, mnakhofu nini?
A DAY WILL COME
 
Kwani hao waliopo sasa wanalipwa na nani? na kwanini wasilipwe na Muungano kama hao waliopo sasa! Na hao wanaotangaza madini na mbuga za wanyama mbona hawalipwi na Tanganyika? na wapo kwenye balozi hizohizo. Hawa jamaa wakipiga kifua kwenye nyanja za kimataifa mnawaletea kauzibe.
Tanganyika imejificha kwenye Muungano ili ifanye inavyofanya sasa, na ndio Mchonga akapinga kwa nguvu yote kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika, coz alijua kufanya hivyo kutaifanya Zanzibar irudishe heshma yake kama nchi kwa 100%.
A DAY WILL COME

tushawashtukia zamani hawa.

kwani tukizungumzia serikali ya muungano zanzibar hawamo?

hivi wabunge watanganyika wan alipwa na serikali ipi? ya tanghabyika? kuna mmoja anadai serikali ya zanzibar itoe mchango kwenye serikali y muungano je tanganyika wamewahi kutoa?

mbona kuna vyombo vingi vinashughulikia tanganyika na wanalipwa na serikali ya muungano hatupigi kelele.

mfanoo si huu wa TFF na mengi mengine.

choyo tu kinawatafuna. ila ss tutaendeleza mazungumzo mkishindwa tugawane kila mmoja aangalie mipango yake. tuishi kwa ujirani mwema maana ss wengine tanganyika tmeoa na kuolewa na wengine huenda asili yetuimetokea huko
 
Zanzibar ni nchi kamili kama ilivyo Tanganyika kwa hiyo idadi ya watu siyo issue; tunachohitaji ni serikali tatu. Serikali ya Zanzibar inaangalia maslahi ya Zanzibar siyo ya Muungano na ndivyo inavyotakiwa, sasa wenzangu na mimi Wadanganyika tunataka hii serikali ya Muungano iangalie maslahi yetu peke yetu, itawezekana wapi?? Nyerere pamoja na mazuri yake mengi, huu mtindo wa muungano alichemsha, halafu akakomaa kiubishi na jinsi alivyokuwa anawakoromea waliouhoji, duh!
 
Umefika wakati wa kuweka data hapa asiyekuwa nazo akae kimya ili wenye nazo waweke. Tuanze na gharama zote zinazohusu serikali ya muungano na uchangiaji wake.

Tuvumiliane ili tupate usahihi nani anatoa nini lini na wapi, hakuna haja ya kuhitaji kupanda ndege wakati hujanunua ticket.
 
kwa kuanzia tanganyika haijachangia hata shilingi kwa maana serikali ya tanganyika haipo.

pili wazanzibari wengi wanafanya kazi ndani ya serikali ya muungano ambayo kimtindo inaonekana kuipendelea tanganyika na kwa hiyo tanganyika kunufaika na wataalamu wetu.

tatu zanzibar ktk mapato ya taifa wao wanapewa asilimia 4. something kwa mantiki nyengine zinaenda kwenye muungano ambayo zanzibar imo na intakiwa inufaike ila kimsingi hamna maendeleo yyte kwetu.

wizara zote za muungano na idara zake ziko tanganyika kiasi ambacho tanganyika inajiimarisha zaidi kuliko zanzibar, si kiajira kimiundo mbinu, kimajengo, kiuchumi na mengineo.

stay tune tunakuja mengi tumeyapeleka na ss tunasisitiza mazungumzo ndio njia salama ya kutatua kero za muungao ikishindikana tugawane mbanjo
 
Hawa wazenj ni walalamishi sana. Kwani hao mabalozi 5 hawatoshi kuwawakilisha? Maana ukichukulia population yao ni ndogo kwa ratio labda watakuwa over representing. Wanadekezwa sana.Wapige kitabu kwanza.
achana na habari ya population ,mulipokuja kuungana na zanzibar mliungana nayo as independent state , mkiwa milioni 40 au 50 thats none of our bussiness, kama sio kuungana na nyinyi tungekuwa na balozi kila sehemu ,kuwa na upeo wa ufahamu. kuhusu kudekezwa tunakudekezeni nyinyi mnaoamua kila kitu mnachotaka huko tanganyika na mnataka zanzibar tuwe wafuataji mkumbo tu, hizo scholarship mnajifanya kuzitoa kwa jina la tanzania, na zote zinaishia kinyemela huko tanganyika sie tunapata za underground tu.kisha leo unakuja hapa unatamka kikejeli kwamba tukapige kitabu kwanza hebu nenda zenji kisha zunguka tanganyika na angalia parcentagewise ,wapi kuna uneducated people wengi? usiangalie idadi ya watu.
acha kukejeli watu. wakati zanzibar ilipoendelea hakuna alieijua tanganyika katika ulimwengu huu. leo mmepata hivyo viji tv ndio unaona uwakejeli wenzio. ushasahau wakati tanzania nzima inaangalia tv moja tu nayo ni tvz.
hebu andamaneni muombe serikali tatu muone zanzibar itakuwa wapi? mnaimeza halafu mnailaumu! najiskia hasira tu nikiona maneno ya kejeli kama haya.daaamn! sijui ilikuwaje tukaungana. what a mistake!
nachukia sana mtu anapoleta habari ya population na akasahau kwamba zilizoungana ni two independent state ambazo.
sometime nikikumbuka kabla ya kuungana na sasa tulivyo najikuta natokwa na machozi tu ,especially nikiona kauli za kejeli kama hizi za huyu kijana hapa juu.
 
Ninadhani suluhu itakayokata mzizi wa fitina ni kuwa na serikali ya majimbo ambayo Zanzibar itakuwa jimbo lenye Gavana wake kama majimbo mengine. Hii itawapa Wazanzibari wasaa mzuri wa kuamua mambo yao wenyewe katika ngazi ya jimbo na vile vile itatoa haki sawa kwa majimbo mengine.
just 4get abt it! labda kuwe na serikali ya zanzibar halafu tanganyika iwe jimbo la zanzibar kama ilivyokuwa mombasa b4
 
achana na habari ya population ,mulipokuja kuungana na zanzibar mliungana nayo as independent state , mkiwa milioni 40 au 50 thats none of our bussiness, kama sio kuungana na nyinyi tungekuwa na balozi kila sehemu ,kuwa na upeo wa ufahamu. kuhusu kudekezwa tunakudekezeni nyinyi mnaoamua kila kitu mnachotaka huko tanganyika na mnataka zanzibar tuwe wafuataji mkumbo tu, hizo scholarship mnajifanya kuzitoa kwa jina la tanzania, na zote zinaishia kinyemela huko tanganyika sie tunapata za underground tu.kisha leo unakuja hapa unatamka kikejeli kwamba tukapige kitabu kwanza hebu nenda zenji kisha zunguka tanganyika na angalia parcentagewise ,wapi kuna uneducated people wengi? usiangalie idadi ya watu.
acha kukejeli watu. wakati zanzibar ilipoendelea hakuna alieijua tanganyika katika ulimwengu huu. leo mmepata hivyo viji tv ndio unaona uwakejeli wenzio. ushasahau wakati tanzania nzima inaangalia tv moja tu nayo ni tvz.
hebu andamaneni muombe serikali tatu muone zanzibar itakuwa wapi? mnaimeza halafu mnailaumu! najiskia hasira tu nikiona maneno ya kejeli kama haya.daaamn! sijui ilikuwaje tukaungana. what a mistake!
nachukia sana mtu anapoleta habari ya population na akasahau kwamba zilizoungana ni two independent state ambazo.
sometime nikikumbuka kabla ya kuungana na sasa tulivyo najikuta natokwa na machozi tu ,especially nikiona kauli za kejeli kama hizi za huyu kijana hapa juu.

ndugu yangu hawa waongo tu, tulipochanganya mchanga kama ishara ya kungana vibuyu mbona vilikuwa sawa? si unakumbuka mwalimu anachanganya mchanga wa zanzibar na tanganyika mbona hakikuwa cha zanzibar kidogo kwa maana population ni ndogo?

hawa sisi tunawaelewa sana na kule kwetu tukimaliza mivutano ya cuf na ccm suala la kulielekea ni hili, ten a kwa sauti moja kuwaambia uwazi na ukweli mchana kweupeee, kama mafuta yalivyoshindikana kuchimbwa mpaka kieleweke na haya mengine hivyo hivyo.
 
just 4get abt it! labda kuwe na serikali ya zanzibar halafu tanganyika iwe jimbo la zanzibar kama ilivyokuwa mombasa b4

Naona umekuwa Comedian siku hizi. Suala la Muungano is more than CCM and CUF, Kikwete, Karume and Maalim Seif. As long as ideolgy za Bw. Mandevu bado zipo hai, na Kichaka anataka kuweka kambi uani kwetu, hayo yote unayoongea hapo ni ndoto za Kimweru.

Wewe ukiwa rais wa Zanzibar leo ninakuhakikishia huwezi kufaya lolote lile na ukizubaa utaondoka muondoko wa marehe Mzee Karume (RIP). This is geopolitics mjomba.
 
achana na habari ya population ,mulipokuja kuungana na zanzibar mliungana nayo as independent state , mkiwa milioni 40 au 50 thats none of our bussiness, kama sio kuungana na nyinyi tungekuwa na balozi kila sehemu ,kuwa na upeo wa ufahamu. kuhusu kudekezwa tunakudekezeni nyinyi mnaoamua kila kitu mnachotaka huko tanganyika na mnataka zanzibar tuwe wafuataji mkumbo tu, hizo scholarship mnajifanya kuzitoa kwa jina la tanzania, na zote zinaishia kinyemela huko tanganyika sie tunapata za underground tu.kisha leo unakuja hapa unatamka kikejeli kwamba tukapige kitabu kwanza hebu nenda zenji kisha zunguka tanganyika na angalia parcentagewise ,wapi kuna uneducated people wengi? usiangalie idadi ya watu.
acha kukejeli watu. wakati zanzibar ilipoendelea hakuna alieijua tanganyika katika ulimwengu huu. leo mmepata hivyo viji tv ndio unaona uwakejeli wenzio. ushasahau wakati tanzania nzima inaangalia tv moja tu nayo ni tvz.
hebu andamaneni muombe serikali tatu muone zanzibar itakuwa wapi? mnaimeza halafu mnailaumu! najiskia hasira tu nikiona maneno ya kejeli kama haya.daaamn! sijui ilikuwaje tukaungana. what a mistake!
nachukia sana mtu anapoleta habari ya population na akasahau kwamba zilizoungana ni two independent state ambazo.
sometime nikikumbuka kabla ya kuungana na sasa tulivyo najikuta natokwa na machozi tu ,especially nikiona kauli za kejeli kama hizi za huyu kijana hapa juu.

Sasa unalia nini? Kila saa unalia lia tu like a crying baby. Stop crying and do something.
 
Naona umekuwa Comedian siku hizi. Suala la Muungano is more than CCM and CUF, Kikwete, Karume and Maalim Seif. As long as ideolgy za Bw. Mandevu bado zipo hai, na Kichaka anataka kuweka kambi uani kwetu, hayo yote unayoongea hapo ni ndoto za Kimweru.

Wewe ukiwa rais wa Zanzibar leo ninakuhakikishia huwezi kufaya lolote lile na ukizubaa utaondoka muondoko wa marehe Mzee Karume (RIP). This is geopolitics mjomba.
u comedian ameanza niliemquote. ungekuwa mstaarabu zaidi kama ungeangalia niliemquote ameandika nini kwanza? be fair. sitaki kuwa rais wa zanzibar wala sina nia hiyo isipokuwa naongea reality whatever it costs even if for sacrifying my soul. thats me. ukipenda u r welcome .hukupenda. thats me and my name is me.
 
Sasa unalia nini? Kila saa unalia lia tu like a crying baby. Stop crying and do something.
kutokwana machozi ni emotion tu na haina maana kwamba ukitokwa na machozi ndio umekuwa baby angalia wapiganiaji wa haki maarufu wote duniani utagundua katika sometime of their life wamedondokwa na mchozi. machozi ni emotion na sio utoto.na kukurekebisha katika lugha yako .mimi nimesema nimetokwa na machozi na sijasema kulia.kulia na kutokwa na machozi ni vitu viwili tofauti.hata hivyo usijali.time will tell.we r just around the corner.
 
1. Tujadiliane tu bila jazba- sisi tu watu na nchi moja. Hakuna mtu aliyepanga au kuamua kuzaliwa Pemba, Unguja, Lindi au Moshi- ilitokea Tu!

2. Hata mimi najiuliza kama CHADEMA wakiingia na kuchukua dola na sera ya majimbo- swala la Zanzibar kama nchi itakuwaje? Je serikali za Zenj itapenda kugawa mikoa yake 5 ktk majimbo? say Pemba jimbo 1 na Unguja Majimbo mawili?

3. Watu wanasahau kuwa 1964 ni nchi mbili ziliungana- ni vema watu wakakumbushwa- sii vema leo 2007 kuchukulia Visiwani kama jimbo au Mkoa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom